TANZIA Magambo Makongoro Amefariki Dunia

Innailah wainnailah rajioun..huyu Magambo alikua na undugu na yule aliewahi kua kiongozi wa Yanga Issa Makongoro.?? RIP .
 
Innailah wainnailah rajioun..huyu Magambo alikua na undugu na yule aliewahi kua kiongozi wa Yanga Issa Makongoro.?? RIP .
Sikuwa namfahamu kwa ukaribu.
Ila tu niliambiwa kwamba alikuzwa na kusomeshwa na Mwalimu.
Wengine wameandika hawakuwa na Undugu na Nyerere, yaweza kuwa.
Hata Dr Abdallah aliyeowa Binti wa Mwinyi Mzee Ruksa, alikuzwa na kusomeshwa na Nyerere.
 
Sikuwa namfahamu kwa ukaribu.
Ila tu niliambiwa kwamba alikuzwa na kusomeshwa na Mwalimu.
Wengine wameandika hawakuwa na Undugu na Nyerere, yaweza kuwa.
Hata Dr Abdallah aliyeowa Binti wa Mwinyi Mzee Ruksa, alikuzwa na kusomeshwa na Nyerere.
Ni kweli hawana undugu ni home boy tu, Chifu Makongoro ni wa Nyamuswa Ikizu Bunda kwa kina Warioba na Wasira, hata kabila posibly siyo mzanaki, Nyamuswa ni kwa Waikizu ndio kabila la Warioba.
 
Machifu wengi wa zamani walikua waislamu,mfano kina mkwawa,makwaia,mirambo,kinweri,etcusikute hata huyo chief makongoro
Bado hujajibu swali langu, umeongelea dhana tu, hapo Ikizu na Zanaki hakukuwa na Uislamu kabisa, kuna watu wa asili sijui ndio mnawaita wapagani na Wakristo, makao makuu ya Wasabato Tanzania yalijengwa Zanaki pale Busegwe kwa kina Nimrod Mkono.

Hapa nieleweke sina interest na dini yoyote, lakini najaribu kutafiti huyu marehemu chimbuko la uislamu wake, nataka kujuwa tu maanda yule Linda aliyezaa naye najuwa alikuwa mkristo akasilimu sasa ni mwislamu.
 
Hata sisi tunafiwa pia.

Na hatuleti misiba mitandaoni.

Matatizo yenu na watu wenu wa karibu, msifikiri matatozo hayo ninya kila mtu.

Mnapopata misiba, siyo kwamba inamhusu kila mtu.
Dah salaleee kuna lengine zaidi ya msiba????
 
Huko mara mbona uislam upo kitambo tu,angalia machifu walivyokua wakivaa,wakamuathiri hadi mkono kuvaa tunga, pitia kitabu cha Thomas molony,nyerere the early days
 
Marehemu apumzike kwa amani...
Lakini huyu makongoro alikuwa mtoto wa mjini haswaa!!! Linda bezdui jina lake analijua mwenyewe.,.....
Alijua anatoka na mtoto kigogo iseee kumbe kaangua pua na uzuri wote ule
Kwa hiyo alikua anadanga!?..hebu nimuone alivyo mzuri!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…