TANZIA Magambo Makongoro Amefariki Dunia

Ni muhimu taarifa ya kifo iambatishwe na umri alioufukia.
Pumziko La Amani Apate.
 
Mzee naye aache ushubwada! Amejuaje kama wamo humu? Ametaja watu kama 10 hivi wale maarufu waliokuwa pamoja si angewapigia simu tu kuliko kuja kutusumbua hapa!

Mohamed said ni Mzee lakini anaishi Kama MTU wa Karne ya 21.
Alafu kuna vijana wadogo ambao wanaishi kama wazee wa Karne ya 17.

Uhuru wa mtu kujieleza unaelewa maana yake kama angalau ulifika kidato cha nne ukapata ufaulu walau wa D moja ya Civics?
 
Inaonekana we ni kijitu chenye roho mbayaπŸ€—
Majitu yenye ROHO mbaya ndio yana MDUDE.

Yalipiga SATIVA RISASI ya KICHWA.

Yalimuua AZORY GWANDA.

Yalimuua AKWILINA.

Yalimuua DEUS SOKA.

Yalimpiga Padre Kitima CHUMA cha KICHWA.

Halafu yenyewe YAKIFIWA au YAKIFA yanataka KILA MTU ASIKITIKE.
 
Machifu wengi wa zamani walikua waislamu,mfano kina mkwawa,makwaia,mirambo,kinweri,etcusikute hata huyo chief makongoro
 
Huyu Mwamba namkumbuka kumuona kipindi katoka USA na Nywele alikuwa akizipiga Mafuta ya Curl πŸ˜€πŸ˜€

Enzi hizo alijenga ghorofa lake Mbezi Beach na akitumia Wafanyakazi wa Interchick usiku wanamwaga Zege. Jamaa hao wamwaga Zege walikuwa wakimpa sifa Makongoro kwa umahiri wake wa kumwaga Matusi mazito hadi Wakamkubali. Hadhi yake na Matusi yake havikuenda pamoja ila kwa ufupi alikuwa Mtoto wa Mjini hadi basi πŸ˜€πŸ˜€

Alikuwa akiingia speed mno na Pajero lake la hali nzuri kabisa hapo Interchick.

Kipindi hicho wakati Interchick inaanza, yeye alikuwa tayari ni Mkurugenzi wa kampuni nyingine ya huyo huyo Owner iitwayo BANDAG - tire retreaders ambacho kilikuwa Kiwanda cha matairi.
Mzungu owner nadhani alikuwa akiishi Kenya na alikuwa ni Mgeruman au Mwingereza huku akija Dar kwa ndege yake ndogo na kuzunguka hapo juu Interchick na ndiyo anakwenda uwanja wa ndege kutua.

Makongoro alikuwa na ndugu yake hapo Interchick aitwaye Matare. Sijui aliishia wapi?
Pia Mshelisheli Mike kutoka Seychells ndiyo walikuwa Weusi Wazito hapo Interchick.

RIP Makongoro....

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…