Kwa maneno ya mdomoni ni sawa ni dini ya amani lakini kwa vitendo ni dini ambayo imeleta shida,huzuni na taabu nyingi sana duniani kuliko dini zote.
Kwa maneno ya mdomoni ni sawa ni dini ya amani lakini kwa vitendo ni dini ambayo imeleta shida,huzuni na taabu nyingi sana duniani kuliko dini zote.
Yeah, whoever kilaza am I sioni shida.kwani hiyo picha huioni?,we sidhani kama unarank kuwa humu jf,inatakiwa uwe facebook au instar
Wewe usiseme hivyo. Muslims hawezi kufanya hivyo? Wewe ndo uko ndani ya roho za hao Muslims? Imani ni ya mtu mmoja mmoja. Usidhani unavyoamini wewe na ulivyocommited kwa imani yako ukadhani wote wako kama wewe. Roho mbaya haina dini. Haina cha uislamu, ukristo, uyahudi, Ubudha au uhindu. Mtu yeyote regardless of religion affiliation anaweza kufanya hivyo.
Kijana hauujuwi Uislam.
Ndio ni skukuuNgoja waje wanaojua. Hivi kesho ni sikukuu au
My take
If I were a Muslim, there is sufficient evidence that I would need to be a Christian where forgiveness is a necessity, love is the supreme command, peace and tranquility is the overriding stepping stone up the ladder.
Takbiiiiiiiir
Dada usihangaike nae huyo unapoteza muda wako bure tu,huyo kisha karirishwa,ni kama Sponji vile linameza kila kimiminika.And the so called Christians are the master minds of what is happening right now and they confess they have created the monsters, here is the proof:
plyhhnKuna thread ilikuwa humu kuwa kwa yeyote atakayeshambulia Saudia basi atakipata cha moto kutoka kwa jumuia ya Kiislamu...sasa sijui kwa hili itakuwaje,ngoja tuone.
Ila magaidi hawafai na hapa dada @Faizafox sijui atasemaje,kama atawatetea au atajililia kimya kimya maana himaya imeguswa nayo
Walikuwa wanachekelea tumboni wanaposikia makafir wameuwawa na magaidi. Wanasahau jini ukilifuga likimaliza majirani kuna siku litageukia wanao na mwisho wa siku linakumalizia wewe mwenyewe. Kama wamepiga jirani na kaburi la Mtume wanayejidai kumfuata tena kipindi muhimu kama hiki cha mfungo hao hawawezi kuwa watu wa kawaida ... Ni mashetani kamili katika umbo la binadamu ...
These ISIS are back in their hood, striking close to home, Medina... Sad!. Did you here what they did in Iraq a couple of days ago?. Killed 200+ innocent people!.
Leo watajitetea sana na kuisingizia Islael lakini hakuna asiyejua kwamba imani yao ndo chanzo cha yote haya na hata hapa kwetu matukio ya kuchukia imani za wengine na hata mahubiri kwenye nymba za ibada ni chuki tupu
Hii nayo kaliRoman catholism created Islam. The West created isis!!!
ni waislamu wenyewenimeshtushwa sana na habari iliyoripotiwa na bbc kwamba wanamgambo wa islamic state wanahusishwa na shambulio la bomu lililoua watu wanne nchini saudia katika eneo la madina jirani kabisa na mahali alipozikwa mtume. eneo hili ni eneo takatifu sana kwa waisilamu sasa ikiwa hawa wanaopigania utawala au dola la kiisilam wanawezaje kulipua maeneo yao matakatifu!? hivi adui hasa wa uisilamu na waisilamu ni nani!?