Mafuta ya Taa yamewekwa shimoni nyoka hawajatoka, yeye anatokwa na machozi

Yule Mchungaji nilikuwa naona kama analia nae..Sijui nn kilikuwa kinamliza
 
alikua anakata kitunguu huku akihisi anaweka mafuta shimoni
 
Bashite- "Hiii hiiiii maaam...maam..mamaa.."

Padri- "Vipi mwana wa kondoo?"

Bashite- "Wa....n..nanis..emaaa"

Padri-"Usijali bwana atafanya njia, kwani si kweli hili jina lako?"

Bashite-"S..ss.sin.a uh...hiiiihiii, sis.na uhakika"

Padri-"Mh.."

Bashite-"Nikumbatie halafu tugeukie huku wayaone vizuri machozi"

.....
 
[HASHTAG]#TunatakaVyetiVyetu[/HASHTAG]
[HASHTAG]#DaudiAlbertBashite[/HASHTAG]
[HASHTAG]#IkolomijeYetu[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom