Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,027
- 52,501
- Thread starter
- #121
hamtaki ukweli mkuu?yaani dada miss natafuta ni heri ungesema tu mafuta kwa ajili ya ngozi za wanaume ila hiyo makalio kuwa nini sijui unaharibu soko lako.
ndio maana maswali mengi yamezuka kuhusu iyo kauli ,vinginevyo muda huu ungekua unapokea oda tu
*Akifa shekhe kazi ya Mungu*
*Akifa mlevi sababu ya Pombe*


