Ipananga kulwa
JF-Expert Member
- Jul 24, 2017
- 573
- 294
hayalainishi makalio mkuu yanafanya ngozi ya kalio iwe nyororo . malakio makabu yanaharibu suruali na mashuka
We ni basha nini?wanaume makalio magum umejuaje?
Hahaha baada ya kuwa soft what next!
brain is the beautiful part of the body.
Hapo sasa mkuu ujue hata kunako kwichi kwichi haitakiwi mwanamke kuyazoea kabisa maeneo yetu ya makalio
mmeona makalio tu jamani? mbona mikono vigoko vyeusi na vikavu hamsemi?Bora yawe makavu na magumu tu...niyalainishe ili nini...WHAT THE.....???!!!
ahahahaaMiss Natafuta we mchokozi!Ungesema ni ya kuongeza ugumu ningekuja PM,ila kulainisha huko simo.
Sema unatafuta m!boo kwa njia nyinginewanaume wengi wana makalio yamekaukaa, mikono vikogo vyeusii ukijumlisha na mapombe wanayokula na chips basi vijana wadogo ngozi zimezeeka sijui uzeeni watakuwaje
nimeamua kuuza mafuta ya kuwasaidia
njoo pm uwe na ngozi yenye afya.
bei tsh 20,000 tu unaletewa ulipo
ukinunua kopo mbili unapewa zawadi ya boxer bure!
hapo kwenye mikono sawa mafuta ila sio makalioni Dadammeona makalio tu jamani? mbona mikono vigoko vyeusi na vikavu hamsemi?
Yani ukitaka ugomvi na mwanaume aliyekamilika gusa makalio yakemmeona makalio tu jamani? mbona mikono vigoko vyeusi na vikavu hamsemi?
yanafanya ngozi iwe na afya mkuuhapo kwenye mikono sawa mafuta ila sio makalioni Dada
Duuuh aiseehayalainishi makalio mkuu yanafanya ngozi ya kalio iwe nyororo . malakio makabu yanaharibu suruali na mashuka
mbona tunayagusa sana?
Mmmh hahaaaa kama alivunga ndo ujue ulikutana na shogambona tunayagusa sana?
mbona tunayagusa sana?
Ngozi nyingine sawa ila sio huko makalioni nikishaoga inatoshayanafanya ngozi iwe na afya mkuu
tunapaka mafutaHahahaha...yangu hugusi.....ili iweje?
kwanini usipake mafuta mkuu?Ngozi nyingine sawa ila sio huko makalioni nikishaoga inatosha
huonagi suruali nyingi zimechanika makalioni?Umenichekesha....teh teh...
sawa mkuu asanteSawa unafanya biashara lakn nafikir n bora ungeanza kwa kuelezea ubora na ingredients znazoyafany hayo mafta kuw special kuliko kuelezea baadh ya makilio mbalmbl ambay umeshakutana nayo
Nawsilisha