Mafuta mazuri ya wanaume

Mafuta mazuri ya wanaume

Hayo mafuta yanayolainisha makalio sio kabisa
 
hahahaha @missnatafuta ktk ubora wako!
 
Ha ha ha ha!!
Mkuu umeongea point muhimu sana!!
Makalio ya mwanaume yawe laini laini ili iweje??
Hapo sasa mkuu ujue hata kunako kwichi kwichi haitakiwi mwanamke kuyazoea kabisa maeneo yetu ya makalio
 
Nipake makalio yangu mafuta yawe malaini ili iweje, au kwa faida ya Nani?
 
Bora yawe makavu na magumu tu...niyalainishe ili nini...WHAT THE.....???!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom