Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,863
- Thread starter
- #101
mimi mume wangu nitampaka ndioNdio shukurani ya kuolewa hiyo....kijana mwenzako umemuwekea sharti la kupaka mafuta Makalio yake kisa asikuchanie Mashuka anayonunua kwa pesa yake...!!
Duuh....ama kweli...[emoji3] [emoji3] [emoji3] hakuna wake siku hizi...ndio maana Zilipendwa inapendwa zaidi ya Seduce me....!!
Sijamsema mtu mimi...[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app