Mafuta mazuri ya wanaume

Mafuta mazuri ya wanaume

wanaume wengi wana makalio yamekaukaa, mikono vikogo vyeusii ukijumlisha na mapombe wanayokula na chips basi vijana wadogo ngozi zimezeeka sijui uzeeni watakuwaje
nimeamua kuuza mafuta ya kuwasaidia
njoo pm uwe na ngozi yenye afya.
bei tsh 20,000 tu unaletewa ulipo
ukinunua kopo mbili unapewa zawadi ya boxer bure!
Shanti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KY hiyo, usalaama wa taifa watakupigia simu muda si mwingi.
Unahitaji makalio ya mwanaume mwenzio yawe laini ili iweje?
Umechunguza wangapi ukaona wanamakalio makavu?
Njaa bhana!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaelekea unatafuta!!! how could you advertise a product with no brand name? unafikiri unai-market Chato?
 
Inaelekea unatafuta!!! how could you advertise a product with no brand name? unafikiri unai-market Chato?
unataka kila myu auze .mimisiwezi kuuza product mbovu .si nitakuja kuchambwa humu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom