Mafuta mazuri ya wanaume

Mafuta mazuri ya wanaume

wanaume wengi wana makalio yamekaukaa, mikono vikogo vyeusii ukijumlisha na mapombe wanayokula na chips basi vijana wadogo ngozi zimezeeka sijui uzeeni watakuwaje
nimeamua kuuza mafuta ya kuwasaidia
njoo pm uwe na ngozi yenye afya.
bei tsh 20,000 tu unaletewa ulipo
ukinunua kopo mbili unapewa zawadi ya boxer bure!
Wauzie tuu shost ikibidi uwaonyeshe na namna ya kujipaka
 
kwani ni siri mkuu.yamekauka hadi yanatoa unga aaah nani asiejua?
Miss ungekuja kistarabu ukaandika bila kuweka hivyo vichombezo vya maungoni ungepiga hela ya maana Na ungetengeneza base market ya kudumu!!

Ushauri omba msamaha kisha andika Uzi mpya Wa kistarabh
Peace

DJ sepetu
 
Hi biashara yako imekaa kimafia mafia au ndo mmetumwa kukusanya data za watu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom