Mafuriko ya vitunguu yaanza kwa kasi

Kenya inaipa Tanzania soko kubwa LA vyakula lakini watanzania naona hawadhamini ule uhusiano, wanawadharau wakenya sana. Imemfaidi vipi magufuli kufunga biashara ya kuuza bidhaa za shamba nje ? Anawatesa wakulima tu!!

Umesema kweli kabisa mkuu
 
Khaa! Kama vitunguu vyenyewe ndo ivo, lazima akosekane wa kununua.. Vitunguu vimekondeana kama vinaumwa UKIMWI!
 
Mbeya gunia la vitunguu ni 25,000 tena inaweza kushuka muda wowote
 
Kawa sasa mikoa ya Arusha na Moshi ambapo vitunguu vinalimwa kwa wingi kumeanza kuwa na mafuriko ya vitunguu masokoni. Wakulima wanakosa wamuuzie nani. Serikali imediscourage exports hasa kwa jiranibzetu wakenya. Sasa tule vitunguu vyetu wenyewe. Wakulima wanatafta wakumuuzia hta kwa 40,000 ila wanakosa.
a0afe0984967024939c0fbd6a3a75363.jpg


Leo mke wangu kanunua hivi vitunguu Arusha kwa sh 300.
Chunguza aliemuuzia ni mwanaume au mwanamke!!!
Hapana mkuu, mimi nimeweka kumbukumbu sawa. Maana yeye mwenyewe kasema mkewe kanunua vitunguu hvyo kwa 300
 
Vipi mtu akiamua anunue aweke stock ili mwez wa nne auze si vitakuwa vimepanda?
Usijaribu mkuu utakula hasara vibaya maana mwezi wa nne singida na tabora inatoa na huwa vinakuwa na bei ndogo mno, kiujumla niseme tu kwa uzoefu maana hata mim mwenyewe ni mkulima wa vitunguu kwa miaka hii zao la kitunguu linaenda kupoteza soko maana wakulima wamekuwa wengi mno tofauti na miaka ya nyuma wengi walikuwa hawajagundua, siku hizi kila sehemu wanalima mfano kanda ya ziwa wanalima pembezoni mwa ziwa wanavuta maji na water pump msimu mzima tofaut na zamani ambapo kuanzia mwez wa 12 had wa pili ilikuwa hupati kitunguu kipya sokoni bali ni vile vilivyohifadhiwa lakin siku hizi nenda mwezi wowote sokoni utakutana na kitunguu kipya ndiyo sababu bei inaporomoka kila siku. Ushauri wangu kwa wakulima wenzangu tusitegemee zao moja tulime mazao mengi hasa nafaka kwa kipindi hiki maana mahitaji ya chakula yanaongezeka kila siku tofauti na zamani
 
Mbeya gunia la vitunguu ni 25,000 tena inaweza kushuka muda wowote
Mkuu, hii nikweli? soko gani huko naweza kupata gunia kwa 25,000; Kama kunamfanyabiashara unayejuana naye wahuko tafadhali ni connect naye, nina soko kubwa nje ya nchi.
 
Mkuu, hii nikweli? soko gani huko naweza kupata gunia kwa 25,000; Kama kunamfanyabiashara unayejuana naye wahuko tafadhali ni connect naye, nina soko kubwa nje ya nchi.
Niko hapa hata mimi nahusika pia
 
can you hear yourself? mambo sio marahis kama unavosema wewe
Sio marahic kwako kwa wenzako wenye desire ya kweli ktka hilo wameweza na wanafanya................!!!

lakini wew .,,go on staying in yur confort zone and relax,, make a smuth life, fearing difficulties ,,, pessa utaiskia kwa redio na kuiona kwa TV ,,,,, OVER....!!!
 
Sio marahic kwako kwa wenzako wenye desire ya kweli ktka hilo wameweza na wanafanya................!!!

lakini wew .,,go on staying in yur confort zone and relax,, make a smuth life, fearing difficulties ,,, pessa utaiskia kwa redio na kuiona kwa TV ,,,,, OVER....!!!
okay
 
Eeenh, ndo mkome kuuza raw,,, sindika,,, shda iko wapi??? unalima miaka 3+ bado uko kwenye raw??
Na mi nasema vishuke tu had tununue kitunguu kwa centi
you dont know what your words mean? unafahamu kuwa tanzania ipo kwenye competitive disadvantage kusindika?
 
you dont know what your words mean? unafahamu kuwa tanzania ipo kwenye competitive disadvantage kusindika?

Am nat sure if yu know exactly kitu unaongea ,,,,!!! may yu tell me ...!!! wat factors which subject thic county in a risk 4 losing customers to a competitor???

Is that a natural factor that comes automatically without being suppressed by hard working 2 produce quality products???

As long as i know A business man has 50% of winning in a market thru quality only,,, other factors may contribute yur remaining 50%,, now where is yur 50% at hand????

nkikuuliza hata una product gan ambayo iko kwenye standards za kimataifa ikashindwa ku compete in the market due to that factor of yurz??? nambie ulisindika nini nakuja ulipo kukichukua nakifanyia market mwezi hautapita ntakuja ulipo popote pale hata KANTALAMBA ntafika,,............!!!!!
 
Back
Top Bottom