Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,943
- 18,665
Kawa sasa mikoa ya Arusha na Moshi ambapo vitunguu vinalimwa kwa wingi kumeanza kuwa na mafuriko ya vitunguu masokoni. Wakulima wanakosa wamuuzie nani. Serikali imediscourage exports hasa kwa jiranibzetu wakenya. Sasa tule vitunguu vyetu wenyewe. Wakulima wanatafta wakumuuzia hta kwa 40,000 ila wanakosa.
Leo mke wangu kanunua hivi vitunguu Arusha kwa sh 300.
Leo mke wangu kanunua hivi vitunguu Arusha kwa sh 300.