Mjasiria Akili
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 823
- 372
Mikutano ya kampeni ya CCM imekua ikionyeshwa live na Star TV na kuonyesha watu wengi kila mkutano lakini imegundulika ni picha za kutengenezwa jana uwanja wa mashujaa pale Moshi hukua na watu wengi kama ilivyokua inaonyeshwa live bali walikua wanachanganya picha za mikutano mingine ushahidi ni video inayoonyesha screen iliyopo uwanjani ambayo kinachoonekana ndicho tunachokiona kwenye tv zetu ikionyesha tofauti na uhalisia.