Yaani hawa Vodacom Foundation wanaona tatizo hili leo baada ya zaidi ya wiki tatu kupita tangu maafa yatokee?
Hakuna ubaya, lakini yaani wao walisubiri victims wa mafuriko yale waliohitaji msaada wa mara moja wafe kwanza kwa kukosa misaada halafu ndipo wao Vodacom wasaidie wale ambao hawakuhitaji msaada wa mara moja?Kwani kuna ubaya gani?
TPN tuna jukumu la kuwaelimisha umma umuhimu wa uzalendo katika maeneo mbali mbali kama vile kiuchumi, kisiasa na kijamiiii...
Na mkifanya mchezo watawapiga bao la kisigino.Something has to be done to prevent hili bao.
Asante Mkuu.
Nakubaliana nawe kwamba baadhi ya wananchi hawachangii kwa sababu hawamini kwamba michango yao itawafikia walengwa. Pia, siku hizi umeingia 'ugonjwa' wa wananchi kudai Serikali ifanye kila kitu, hata yale mambo ambayo yako ndani ya uwezo wa wananchi wenyewe kuyafanya kwa kujitolea kama ilivyokuwa huko nyuma. Twaamini TPN mtaweza kuja na mikakati ya kufufua moyo wa kujitolea miongoni mwa wananchi.
Vodacom are in it for them selves..Corporate bullshit at it's best. Vodacom Foundation was suppose to BRING BACK TO THE COMMUNITY not TAKING FROM THE COMMUNITY for their own Publicity. Shame on you Vodacom...
Mimi ndio maana nimeshangaa sana. Miaka yote hii tunasikia kina Mwamvita na Voda Foundation wametoa misaada kwenye mashule, macliniki n.k toka kwenye vodacom foundation. Hakuna hata wakati mmoja ambapo wametangaza wanataka wachangiwe ilii watoe misaada hiyo. Sasa iweje leo kwenye suala la mafuriko wataka kuchangiwa ili watoe misaada kwa waathirika?
Kama wangekuwa wanaendesha harambee ya kuchangia Red Cross kama TPN na sisi tunavyofanya wala isingekuwa sababu ya kushtuka; lakini kuichangia Vodacom Foundation ili itoe misaada kwa waathirika, nashtuka kuliko neno kushtuka lenyewe linavyomaanisha.

A well worded, highly diplomatic and a very serious post.Mkuu, harambee hii tuliianzisha si kwa kushindana na yeyote bali kusaidia ndugu zetu Wahanga wa mafuriko.
Kama una maoni yoyote ya kuboresha au nini cha kufanya, tutafurahi kuyasikia.
Wizi mtupu,hawana aibu hata kidogo,kuanzai MD na utawala mzima wa VODACOM wamejikusanya kuwaibia watanzania na kugain reputation kupitia matatizo ya watu wa Kilosa.Shame on you Mafuru na team yako!
Tumeanza kushuhudia namna ambavyo Kilosa imekuwa mtaji wa kibiashara, na mengi yanakuja kwenye hili
Ukitaka kujua namna Kilosa inavyo serve kama mtaji wa kisiasa mtazame waziri wenu wa Fedha alivyoganda kule kupokea hata kandambili pea 2 utadhani hakuna viongozi wa serikali. Habanduki, maana akifanya hivyo tu, wanaowania jimbo watajazana kweli kununua fikra za watu kupitia kipindi hiki kigumu kwa wapiga kura wa kule
More sasa, and more badae. Time will tell!
In my opinion you are being unfair to Hon. MP for Kilosa. Wananchi anaowawakilisha wamekumbwa na janga kubwa. I wish you were there to see how devastated those poor Kilosa, Kimamba, Chanzuru .... residents were. Mbunge abanduke aende wapi katika hali ya namna hiyo. Mbunge muwajibikaji anapaswa kupiga kambi kwenye eneo la janga hilo mpaka kieleweke. I commend Mustapha for being there for his people.