Kiranga_ana kamsemo kamoja very interesting..'anasema_hajui na wala hajui kama hajui'...get the point...?
unajua mwisho wa hiyo sentensi ina mwisho wake hiyo hajui na hajui kama hajui ..... teteteee very interesting
Hii ni circular argument.
Yaani unaniambia "huwezi kukubali kwa sababu huwezi kukubali".
hii "huwezi kukubali kwa sababu huwezi kukubali" sijasema
usiharibu proposition zangu
engeweza kukubali-ungeweza kuelewa
hukubali -huwezi kuelewa
Wakuu, I hope wote mko poa kabisa. Nataka kuwashirikisha jambo. Kuna hali ya mafuriko makubwa yanayokuja kutokea Tanzania mwezi ujao. Kuna watu ambao Mungu amesema nasi ili tuombe toba kwa ajili ya nchi ili hali hii isitokee na hasa kama itatokea basi isilete madhara ambayo yanaweza kutokea kama hatutaomba Mungu atunusuru na maafa.
Nchi yetu 'imemezwa na chatu'. Hii maana yake ni kwamba nchi hii imetumbukia katika uchawi na kumwabudu shetani as nyoka ni shetani as well as uchawi/ushirikina. Watu waliopewa dhamana kwenye taifa hili iwe serikalini au katika kanisa wamesahau wajibu wao na badala yake wanamkumbatia shetani na kazi zake zote i.e uuaji na umwagaji wa damu zisizo na hatia, uchawi, wizi, uongo na pia ukahaba umekithiri, uaminifu umepungua sana, ufisadi, upagani, ibada za mizimu, kuabudu shetani na mambo mengine yote yafananayo na hayo na kumchukiza Mungu na amekasirika. Mambo yote haya tunayaona day in day out. Na watu wanafurahia watu waovu na uovu kuliko uadilifu na watu wanaotetea haki.
Mungu anaipenda sana Tanzania lakini anachukia uovu huu ndio maana ameonyesha nini kinakuja ili tuombe toba atusamehe na atunusuru na hali hiyo na kama bado itatokea basi isilete madhara makubwa au yasitokee kabisa.
Picha ya mafuriko yanayokuja yanaonyesha mvua kubwa sana ya kutisha na nusu ya Dar ikiwa imemezwa na maji ambayo yamechanganyika na maji ya bahari. Hii inaashiria gharika au kimbunga chenye mvua kubwa.
Kwa yeyote mwenye mzigo wa kuliombea Taifa hili tafadhali omba toba kwa ajili ya nchi yetu na ufunge kwa siku tatu kawaida na sio tatu kavu (utachagua mwenyewe siku za kufunga) ili Mungu atuepushie na balaa hili. Tafadhali mshirikishe na mwenzio.
Nimewashirikisha ili isije kula kwetu tuliopewa huu ujumbe kama tutakaa kimya bila kushirikisha wengine pia waombe.
Usichangie kwa kukashifu na kama huna mchango au huamini basi wewe pita tu na Mungu atakubariki.
Mathayo 18:18, 2 Nyakati 7:14, Isaya 62:6, 45:11
Hata Nuhu walimbeza sio ajabu, asomaye na aelewe chukua hatua!!!Kumbe JF ina Nabii wake !
Kama mungu ni roho na uwezo wake uko mbali hivyo na uwezo wa binadamu unaotegemea milango mitano ya fahamu, wewe umemjuaje?
Hata Nuhu walimbeza sio ajabu, asomaye na aelewe chukua hatua!!!
Tumwaminie ametujalia roho wa kutambua yale ambayo binadam walio gizan kama wewe hawayawezi,si kwa kuwa hawajapewa uwezo huo lah hasha bali ni kwa kuwa wamejikweza kupita kiasi wakisema wao ni wao katika yote mungu hayupo. Kuamini kwako kuwa mungu hayuko si issue,kwani binadam ano uhuru wakuamini apendavyo,tatizo linakuja pale unapotaka wote tuwaze na tuenende sawa na 'maono' yako mwenyewe huku ukituona kama tu wajinga kwa kuujua ukweli ambao wewe huujui...
Hata Nuhu walimbeza sio ajabu, asomaye na aelewe chukua hatua!!!
ubishi mwingine wa kijinga kwa mtu mwenye hekima na busara, kasome biblia kuhusu uumbaji wake,kama tumeumbwa kwa sura na mfano wake atashindwaje kusema na watu weusi? Na je binadamu wa kwanza alikuwa mweusi,mweupe au?je unaweza kubishana na mjapani kuwa toyota ya kwanza haikuwa hivi ilikuwa vile? Chukua tahadhari unapobishania kuhusu uumbaye wa aliye mkuu wa wakuu au kama mungu wako ni mganga ni sawa

Mimi siamini kwamba mungu yupo. Sijapata ushahidi wa kuniaminisha kwamba mungu yupo.
Wewe unaniambia, ili kuamini nikasome biblia, kitabu ambacho mungu kakiakndika.
Several problems with this line of thinking.
1. Inabidi uniaminishe kwamba mungu yupo kwanza, kabla ya kutaka nisome kitabu chake kwa mtazamo wa kusoma kitabu cha mungu.
2.Halafu una assume tu kwamba sijasoma biblia. This is wrong. Biblia nimeisoma kuanzia Mwanzo mpaka Ufunuo, halafu nikaisoma kinyumenyume kutoka Ufunuo mpaka Mwanzo, by age 11!
Hizo habari rejareja za binadamu wa kwanza kuwa mweusi au mweupe hazijibu swala la kuwapo kwa mungu.
Halafu concept nzima ya "binadamu wa kwanza" ina betray lack of knowledge of science.

......eti tumeumbwa kwa mfano wake, hivyo hata Wassira anafanana nae ? Ungekuwa karibu yangu ..........!
Mimi siamini kwamba mungu yupo. Sijapata ushahidi wa kuniaminisha kwamba mungu yupo.
......eti tumeumbwa kwa mfano wake, hivyo hata Wassira anafanana nae ? Ungekuwa karibu yangu ..........!
By the way, hiyo quote inaonekana ya Kiranga kwa sababu kuna muumini mmoja inabidi ajifunze ku-quote.
"Tumeumbwa kwa mfano wake" inalenga kuwaweka binadamu katika minyororo siku zote.
Mie siikubali.
Lipi kuhusu lolote lile ambalo wewe unaamini?
Naamini katika kutoamini.
Ooh vizuri!
Nilidhani labda wewe hakuna hata moja unaloamini. Kumbe lipo!!
Hakuna asiyeamini hata moja, huyo atakuwa anajidanganya.
Usipoamini hata moja huwezi kutoka kitandani asubuhi. In fact huwezi hata kukilalia kitanda.