Mafuriko mwezi ujao (September 2012)

Ndiyo maana wengine tushasema kwamba hayupo.

"Argumentum ad ignorantium". Yaani hapa mzee unashuka hadhi vibaya sana, shule yote chini! Afadhali hata ya layman ambaye hakugusa hata chaki kabisa!
 

Sikiliza wewe bwana mdogo, hapo ulichemka. "Speak volumes" ni idiom. Najua huwezi kukubali kuwa ulichemka lakini ukweli ndiyo huo.

speak volumes : to provide a lot of information about something : to show something very clearly
▪ The company's decision to ignore the problem speaks volumes [=says a lot] about its lack of leadership. M-W

speak volumes (about/for something/somebody)
to tell you a lot about something/somebody, without the need for words
His achievement speaks volumes for his determination.
What you wear speaks volumes about you. Oxford

Halafu hata Kiswahili hujui. "Aidha" maana yake ni 'vilevile', 'pia','isitoshe', au 'kadhalika'. Kwenye Kiswahili ukitaka kusema 'either....or' unasema 'ama....au' na siyo 'aidha....au'.

Take that, sucker!!
 

Wewe kweli ni fisi. Umeshaona dalili ya wewe kushindwa hoja hapa hadharani ndiyo maana unakimbilia kuutoa mjadala hapa na kuupeleka kwingine.
 
Ila nadhani una akili nyingi, huwa unatafuta kitu data fulani hapa kijanja. Kwa level ya ufahamu wako ninavyoiona, lazima utakuwa unaigiza,..., kama sivyo, tarajia mambo makubwa sana kutokea katika maisha yako siku moja!

What the hell...? Are you a soothsayer?
 
hahahaha, kwa hiyo yakitokea tukusifu kwa kutabiri
na yaspotokea tukusifu vile vile kwa kutuhepusha?
Watu wengine wanajua kujitafutia umaarufu kweli!
 
Ice in both north and south poles is melting in alarming speed.
Water level is increasing, in some areas ocean will be able to flood land up to 40 miles from the sea.
A little bit wind might bring a lot of flood disaster around the sea shores and flat lands near the ocean.
But I dont know when this will happen.
 
Mimi nafikiri mwenye kuamini akeshe akiomba na asiye amini ahame mabondeni.
 
Mafuriko yatokee ndio tuamini, au yasitokee pia tuamini kwamba kuna watu wameliombea taifa,
 

Mkuu ina maana wewe huamini kama kuna mungu na shetani?
 
hahahahahahahah naogopa lakini mimecheka sana

naogopa kwasababu tabgu asubuhi nasoma mambo ya sayari ya nibiru itakayoigonga dunia eti
asiluimia 90 ya viumbe vitaangamia loh
ngoja nikauze shamba nile pesa zangu mapeeema
Inawezekana Mungu amesikia kilio chetu. Angemuangamiza kwanza baba riz ningekuwa na amani ya moyoni...
 
Kwa nini wewe hujasema na yeye?

Unajuaje kama sijasema naye? Usi assume tu.

Kwa nini yeye awe na obligation ya kusema na wewe tu na si wewe kusema naye?

Nani kakwambia sijasema naye? Unaonekana ku assume sana bila ya investigation.

Unafuga ndevu zinakuwa ndefu hadi karibia magotini halafu unapita mitaani unatangaza kuwa vinyozi hawapo kwa sababu kama wangekuwepo ndevu zako zisingerefuka hadi magotini?

Halafu unaiendeleza assumption kwa analogy, unazidi kuji expose ulivyo presumptive.

Unataka kinyozi akufuate chumbani kwako aje akunyoe? Kwa nini usiende saloon kama unataka kunyoa hizo ndevu zako? Kaa nazo hadi zitarefuka ziwe zinakatika zenyewe lakini kamwe kinyozi hatakufuata nyumbani kwako.

Unapitiliza kabisa kwenye any reasonable conduct, hujajibiwa swali ushajijibu mwenyewe na kuendeleza theories na extrapolations. No wonder unaamini vitu visivyoaminika.

Ila nadhani una akili nyingi,

Akili nyingi ndo ikoje?

huwa unatafuta kitu data fulani hapa

Ninachotafuta hapa ni uthibitisho kwamba mungu yupo. Kitu ambacho si wewe wala mtu mwingine yeyote hapa JF ameweza kunipa.


Pole.

Kwa level ya ufahamu wako ninavyoiona, lazima utakuwa unaigiza,..., kama sivyo, tarajia mambo makubwa sana kutokea katika maisha yako siku moja!

Hakuna asiyeigiza dunia hii. Nitajie mmoja asiyeigiza.

Unacheza wewe.
 
"Argumentum ad ignorantium". Yaani hapa mzee unashuka hadhi vibaya sana, shule yote chini! Afadhali hata ya layman ambaye hakugusa hata chaki kabisa!

Huyu hapa scientific process hata redioni hajaisikia.

Bila shaka anafikiri "Burden of proof" ni dawa fulani ya kuua mende, version nyingine ya "Dudu Proof".
 
Huyu hapa scientific process hata redioni hajaisikia.

Bila shaka anafikiri "Burden of proof" ni dawa fulani ya kuua mende, version nyingine ya "Dudu Proof".

Details huna, una sentensi tu zimejaa kichwani. Wewe tangu lini mtu akang'ang'aniza tools za sayansi zitumike ku-test vitu kwenye spritual world! Ni kama mtu analazimisha umwonyeshe umbile la upendo lilivyo, baada ya kuwa umemwonyesha ng'ombe. Kuanzia leo wewe nimekupa hilo jina la Kalabaho!
 
Huyu hapa scientific process hata redioni hajaisikia.

Bila shaka anafikiri "Burden of proof" ni dawa fulani ya kuua mende, version nyingine ya "Dudu Proof".

Details huna, una sentensi tu zimejaa kichwani. Wewe tangu lini mtu akang'ang'aniza tools za sayansi zitumike ku-test vitu kwenye spritual world! Ni kama mtu analazimisha umwonyeshe umbile la upendo lilivyo, baada ya kuwa umemwonyesha ng'ombe. Kuanzia leo wewe nimekupa hilo jina la Kalagabaho!
 

Kalabaho ndo nini?

Jifunze spelling.

Nimesema hujanionyesha uthibitisho kwamba mungu yupo. Umekubali kwamba huwezi kunionyesha uthibitisho.

Kimsingi una make case yangu kwamba mungu hawezi kuthibitishika. Ni mapokeo na hekaya tu.

Asante.
 

Basi nakimbia, una arguments sana, au anasemaje? Sayansi unaijua? Niliuliza swali, (enquiry mind)
 
Sipingi alichosema Elisha Ray lakini nataka kumwambia kwamba huu siyo wakati wa kukariri kwamba Object fulani ni kitu fulani katika ndoto au vision. Nyoka siyo wakati wote ni shetani hivyo siyo vyema kuweka katika ufahamu wako kwamba ukiona Nyoka basi ujue ni shetani bali ni vizuri kuomba Roho wa Mungu akufunulie ili ujue kwa hakika mawazo ya Mungu kuhusu jambo hilo alilosema nawe.

Utumishi wa mazoea na kukariri zama zake zimepitwa na wakati ni vizuri kutomzoea Mungu wala kukariri.
 
Basi nakimbia, una arguments sana, au anasemaje? Sayansi unaijua? Niliuliza swali, (enquiry mind)

Mi sijibu wanaokimbia. We siye uliyesema nimekukimbia hapa?

Anayesema anaijua sayansi haijui. Wacha mapepe.

Wewe hata quote yako mwenyewe inakusuta.

"Believe those seeking the truth, doubt those who find it"; Andre Gide"
 
Mi sijibu wanaokimbia. We siye uliyesema nimekukimbia hapa?

Anayesema anaijua sayansi haijui. Wacha mapepe.

Wewe hata quote yako mwenyewe inakusuta.

"Believe those seeking the truth, doubt those who find it"; Andre Gide"

Nilikuwa nakudanganya, na ulivyo mwepesi wa kukariri joja ukakubali, hapana bado nipo mzee wangu, isipokuwa nilitaka nipumzike kidogo kusikia *****! Tatizo umekariri sayansi wakati siyo mwanasayansi, you think everything's verification is subject to emperical objective evidence, simply sayansi inasema hivyo,..., a grave mistake.

Kwa mfano, sauti yako unayotumia kuongea kila siku ulishawahi kuiona kwa kutumia your natural eyes? Kwa nini hujawahi kusema kwamba haipo? Au kwa nini maneno unayotamka huwa huyaoni ila huwa unayasikia tu hadi imebidi watu watumie utaalamu wa maandishi kuhifadhi maneno? Wewe unataka kila kitu kiwe tested na scientific instrument? How do you test things in a spritual world kwa kutumia scientific instrumenst? Before discovery ya sophisticated instruments ambazo zinaweza kumpima mtu na ku-confirm kama yuko usingizini na/au anaota (wewe unajua kabisa kwamba huwa unalala na unaota) ungeweza ku-argue kwamba watu huwa hawawi usingizini au hawaoti kwa sababu, by then hapakuwa na scientific instuments za kutest hiyo? Naona wewe hujasoma sayansi na wala huielewi unachemka chemka tu, tafuta mda nikupe tution at a very advanced level. Unatumia ujanja ujanja tu wa kukusanya habari kutoka kwenye vijarida na mitandao, na kukariri kichwani ili uje uvitumie katika kubishana na siyo kutoa hoja. You think huo ndiyo usomi. TAFUTA MUDA NIKUPE LECTURES NZURI SANA ZA SAYANSI, HASA PHYSICS, AT A VERY ADVANCED LEVEL. KALAGABAHO!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…