bora iwe hivyohii video ya siku nyingi..
Hapana ni ya muda kidogo sema watu siku hizi hatuangalii news za usiku tushavurugwa...is this a current event?
Kweli aliyeumba Mbingu na Nchi aturehemu!Mungu tunusuru, ikitokea hapa kwetu na hizi nyumba zetu za miti.
umeogopa eeh..bora iwe hivyo