Mafuriko makubwa ya maji yaliyotokea nchini Pakistan mjini Karachi. Haijawahi kutokea miaka mingi hii ni gharika

We unaijua gharika? Soma vizuri kitabu cha Mwanzo. Ingekuwa gharika hao wanaopiga picha ghorofani wangemezwa.
 
Asante kwa taarifa japo umeleta video ya muda mrefu
 
Hii inafanana na Tsunami ya Japan. Dah maji ni muhimu na ni hatari.
Mungu naye huwa unatuhurumia sana Africa Tumshukuru sana
Kama inatokea kwetu ni Mungu tu sijui nini kitasalia
 
Yangetokea china au india sasa ungesikia Mungu kawapa adhabu kwa ku abudu sanamu.
 
Maji yenye kina cha inchi 5 yenye kasi yanatosha kukudondosha.

Maji yenye kina cha inchi 12 yenye kasi yanatosha kukuua.

Hii ni kwa yeyote ambaye amewaza kwamba angekua yeye angekimbilia gari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom