Mikopo Chefuchefu
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 3,373
- 6,756
Umeua!!!!!!Kazi ya udereva ndio daraja la mwisho Tz, hata mshahara wake serikalini ni tgs A,
sasa kama nit udereva unaona mtiti je unaweza kuderive formula za physics f2 ?
au ndo zero yako unaenda kuiposa udereva?
Heshima yakoKazi ya udereva ndio daraja la mwisho Tz, hata mshahara wake serikalini ni tgs A,
sasa kama nit udereva unaona mtiti je unaweza kuderive formula za physics f2 ?
au ndo zero yako unaenda kuiposa udereva?
Hahaha... sasa utasoma nini
Kazi ya mwisho huko Serikali. Wapo madereva wana maisha mazuri kuliko wewe mwenye shahada.Kazi ya udereva ndio daraja la mwisho Tz, hata mshahara wake serikalini ni tgs A,
sasa kama nit udereva unaona mtiti je unaweza kuderive formula za physics f2 ?
au ndo zero yako unaenda kuiposa udereva?
Huyu hajakesha akioweka miguu kwenye maji ili kuielewa university physics.Kazi ya udereva ndio daraja la mwisho Tz, hata mshahara wake serikalini ni tgs A,
sasa kama nit udereva unaona mtiti je unaweza kuderive formula za physics f2 ?
au ndo zero yako unaenda kuiposa udereva?
Ni moja ya mafunzo bora sana na sio mtiti kama kweli wewe ni driver mzuri kumbuka hapo hapo hawakufundishi udereva ila dereva awe vipi na hii kazi nzuri sana kuliko hata huyo anayekuzodoa hapo kwamba ndio kazi ya mwisho hata serikalini maana udriver una options kujiajiri au kuajiriwa ndio uzuri gari za pale Nit ndio mara nyingi huwa zinawachanganya madriver ila ila kama upo vizur hakuna ugumu wowoteNdo ivo! Kama hujajipanga usikanyage pale. Pale sio mahali pa kulipia na kuchukua cheti. Kuna mtiti wa haja. Mziki wake mpaka umalize mafunzo ni afadhali tu uende jeshini kama wewe ni lege lege!
Jamani NIT, kuna wengine wamezoea kuendesha magari ya wajomba haya ya auto. Mambo ya kuweka magari ambayo gear haziingii mpaka mtu aigonge na nyundo, sio fair kabisa...
Kazi ya mwisho huko Serikali. Wapo madereva wana maisha mazuri kuliko wewe mwenye shahada.
Umemjibu vyema sana. Kimsingi udereva ni basic skills tu kama ilivyo kutumiaKazi ya udereva ndio daraja la mwisho Tz, hata mshahara wake serikalini ni tgs A,
sasa kama nit udereva unaona mtiti je unaweza kuderive formula za physics f2 ?
au ndo zero yako unaenda kuiposa udereva?
umenena kweli mkuu, tatizo akili yake ipo ndani ya box.kuna madereva sekta binafsi wanalipwa mishahara minono na marupurupu mengine.Kazi ya mwisho huko Serikali. Wapo madereva wana maisha mazuri kuliko wewe mwenye shahada.