Mafunzo ya Udereva wa umahiri ya NIT ni magumu kuliko mafunzo ya kijeshi!

Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
May 15, 2017
3,373
6,756
Ndo ivo! Kama hujajipanga usikanyage pale. Pale sio mahali pa kulipia na kuchukua cheti. Kuna mtiti wa haja. Mziki wake mpaka umalize mafunzo ni afadhali tu uende jeshini kama wewe ni lege lege!

Jamani NIT, kuna wengine wamezoea kuendesha magari ya wajomba haya ya auto. Mambo ya kuweka magari ambayo gear haziingii mpaka mtu aigonge na nyundo, sio fair kabisa...
 
Kazi ya udereva ndio daraja la mwisho Tz, hata mshahara wake serikalini ni tgs A,

sasa kama nit udereva unaona mtiti je unaweza kuderive formula za physics f2 ?
au ndo zero yako unaenda kuiposa udereva?
Heshima yako
 
Ni moja ya mafunzo bora sana na sio mtiti kama kweli wewe ni driver mzuri kumbuka hapo hapo hawakufundishi udereva ila dereva awe vipi na hii kazi nzuri sana kuliko hata huyo anayekuzodoa hapo kwamba ndio kazi ya mwisho hata serikalini maana udriver una options kujiajiri au kuajiriwa ndio uzuri gari za pale Nit ndio mara nyingi huwa zinawachanganya madriver ila ila kama upo vizur hakuna ugumu wowote
 
Kazi ya udereva ndio daraja la mwisho Tz, hata mshahara wake serikalini ni tgs A,

sasa kama nit udereva unaona mtiti je unaweza kuderive formula za physics f2 ?
au ndo zero yako unaenda kuiposa udereva?
Umemjibu vyema sana. Kimsingi udereva ni basic skills tu kama ilivyo kutumia , simu, kupika, kufua na kuosha vyombo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom