Kweli uchawi cna uhakika. Kuna Bibi aliitwa Bibi njiwa alisemekana mchawi balaa. Alikuwa anafuga njiwa pia.
Pia njiwa anatumika kichawi pia
Pia njiwa anatumika kichawi pia
Mimi nimesikia njiwa ni ndege wa baraka sana kiasi kwamba
kama una mikosi au nuksi kubwa kubwa huwezi kuwafuga
hapa nazungumzia watu kama wauaji
au wachawi sugu nasikia njiwa hawakai majumbani mwao
au watu wenye kufanya taboo kama kutembea mtu na mzazi wake na kadhalika


