Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,177
- 34,444
Sijawahi kutamani kuwafuga hawa ndege.
Owh polee kuna tetere hua asubuh akilia Tu ujue kum na mbili kamili asubuh napenda saut zao vile wakilia
Sijawahi kutamani kuwafuga hawa ndege.
Daaaah....nasisimka balaa nikiisoma hii story za njiwa. Natamani niisome kila mara. Nimeipenda sana na nitajawafuga tu lazima. Inshallah
Mmezidi kuchungulia wenzenu! Mpaka NJIWA
Nimetamani kufuga hawa ndege kupitia hii thread..
Ntalifanyia kazi tu.
Utafanya jambo jema na la kupendeza
Ahahaa wanafanya public unaeza kuwa umekaa wakaha Tu hapo wakaanza romance zao
Sana mkuu, na Asante kwa hii thread.
utajuaje huenda naye ni njiwaDah,wewe kweli unawafahamu njiwa vizuri,nilisikia eti ukichinja njiwa wenzake wakikuona wote wanakimbia na hawarudi tena!!
Binadamu tumecopy hivi vitu kwa hawa viumbe,yaani njiwa anakupigia romance hadi unasikia raha,wallah hawa viumbe ni wataalamu wa mahaba
Hahahaaa....
Mimi nimesikia njiwa ni ndege wa baraka sana kiasi kwamba
kama una mikosi au nuksi kubwa kubwa huwezi kuwafuga
hapa nazungumzia watu kama wauaji
au wachawi sugu nasikia njiwa hawakai majumbani mwao
au watu wenye kufanya taboo kama kutembea mtu na mzazi wake na kadhalika
utajuaje huenda naye ni njiwa
Hata mimi nishawahi sikia
Umesikia wapi?
Dah,wewe kweli unawafahamu njiwa vizuri,nilisikia eti ukichinja njiwa wenzake wakikuona wote wanakimbia na hawarudi tena!!
Bora njiwa kuliko mademu wa jf ambao wote wanamshobokea Invisible.
Thats amazing.
BTW unawaambia kwa njia gani kwamba kuna msiba?