Coke Zero
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 1,024
- 544
Yeah Ni kweli
Mh,basi hawa viumbe ni waajabu sana
Yeah Ni kweli
wapenda romance weye
Mh,basi hawa viumbe ni waajabu sana
Binadamu tumecopy hivi vitu kwa hawa viumbe,yaani njiwa anakupigia romance hadi unasikia raha,wallah hawa viumbe ni wataalamu wa mahaba
Hahahaaa....
Sijawahi kujaribu kumfunga barua apeleke Tu na I wish nifanye hiyo maana wanasema kua eti ukishamfunga unamuonesha na picha ya yule unaempelekea barua na ukimwambia usiondoke had akujibu akifika huko haondoki had apewe majib arudishe hii sijawah hats ishuhudia na sinaa hakika if so
yeah, wanyama wanatufundisha vitu vingi mfano dog style sijui nani alijaribishaga hii kitu kwa mara ya kwanza
heheheheheeeee
Mambo ya wanyama nyingine nmekupmHahahaa,basi we noma
Hahaha,sijui kama hili jambo lina ukweli wowote ,sasa yeye huyo mtu atampata wap!.....
Anyway labda it's possible ila siku ukijaribu unipe feedback......
Masharti yakee et upate njiwa mweupee pee ndo anafaa zaidi nitajaribu one day
Nafikiri hiyo dhana ya weupe wameichukua kwa Nuhu alivyomtuma njiwa mweupe baada ya lile janga la safina
Wanaliwa
Lakini nyama yake kama mpira wa manati,inavutika hatari...
Dah,wewe kweli unawafahamu njiwa vizuri,nilisikia eti ukichinja njiwa wenzake wakikuona wote wanakimbia na hawarudi tena!!
Jambo hilo ni kweli. Njiwa hukamatwa hata hadharani. Lakini huchinjwa sirini. Kinyume chake wanaruka wote kwa pamoja na kupotea
naomba kujua njiwa wanaliwa?????
Nini inapelekea hiyo halii ya wao kuruka na kupotea kushuhudia mwenzao akichinjwa
Njiwa ni ndege wanaopenda sana amani. Si kuchinjwa tu kunakowatisha. Hata wakivamiwa na paka,nyoka au kup?gwa mawe huruka na kutokomea. Kimsingi,njiwa hapendi usumbufu na kurushwa roho kwa vitisho.