Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 12,459
- 18,186
Saf kabsa point Uvumilivu zingine mbwembweNitarudi tu kamanda hata wakati naanza mchakato nilisema nitaenda...uvumilivu tu ndo unahitajika
Saf kabsa point Uvumilivu zingine mbwembweNitarudi tu kamanda hata wakati naanza mchakato nilisema nitaenda...uvumilivu tu ndo unahitajika
Ukifika utabadili mtazamo baada ya kuona hali ya hewa ilivo kule .
Lj Mwambar.. Kaka kubadilisha mawazo 823kj sijui kwa kweli.. Labda nihamishe bdaeUkifika utabadili mtazamo baada ya kuona hali ya hewa ilivo kule .
Itakubid uwe na discplin ya hali ya juu kupata unachokitaka maana kupata unachokitaka ni ngumu sana ila kupata usichokitaka ni rahisi zaidiLj Mwambar.. Kaka kubadilisha mawazo 823kj sijui kwa kweli.. Labda nihamishe bdae
Sorry ni 832kjLj Mwambar.. Kaka kubadilisha mawazo 823kj sijui kwa kweli.. Labda nihamishe bdae
Pamoja kaka.. Vp any news kutoka MmJktItakubid uwe na discplin ya hali ya juu kupata unachokitaka maana kupata unachokitaka ni ngumu sana ila kupata usichokitaka ni rahisi zaidi
NotedS
Sorry ni 832kj
Hakuna newz kutoka mmjkt.ila huku kwetu unavuma upepo wa 10-15 julai. Ushauri,taarifa za uhakika zitatoka kwa washauri wenu wa migambo vjana tuvute subraPamoja kaka.. Vp any news kutoka MmJkt
Sasa bora usiende kuliko kwenda kule kupoteza muda wako .Daah kwa kweli nitoke kuwa MG niingie PT mm niko tayar kurudi nyumban kwa kweli. Mawazo yangu tu wakuu
kwa jinsi molari ya vijana ilivyo unaona hawapo tayari mkuu?mpo tayari kumwagiwa maji na bakora
Ha ha ha hakwa jinsi molari ya vijana ilivyo unaona hawapo tayari mkuu?
WaaziiiiiSasa bora usiende kuliko kwenda kule kupoteza muda wako .
Sijui kama unajua thamani ya muda ukae 2 years halafu urudi nyumbani mtupu una mbele wala nyuma .
Huo ujinga mi sijanyi niliwahi kuwa sehemu flani 2 years bila faida yoyote kitu ambacho najutia mpaka kesho.
Ukienda kula lazima uwe na malengo yaliyobalance kwamba unaenda kupata mafunzo illi uajiriwe katika majeshi yetu basi
Au kaa uraiani ufanye shughuli nyingine ya maendeleo .
Usiliingize taifa hasara ya kukutunza miaka miwili kwa chakula ,matibabu,malazi na posho juu halafu mwisho Wa siku unarudi kwenu haroooo!! We sio mzalendo kule hakukufai .
Na kama huo ndo mpango wako nahisi hutomaliza vizuri maana umeshajiwekea kauzibe kwa wewe ni "bakabaka" tu
Waziiiiiiii[emoji15]
Ha h aha vjana wana morali wako tayare kwa lolotemtakaopangiwa 832kj mtanikuta andaeni nguvu za kufa mtu mtakunya damu
Waue kabisa afande, maana mnaonekana rojorojo sana apo 832kj.mtakaopangiwa 832kj mtanikuta andaeni nguvu za kufa mtu mtakunya damu
Mtie hasira, Mtie hasira afande... Adi atoke machoziHa h aha vjana wana morali wako tayare kwa lolote
Dah full kujaza upepoMtie hasira, Mtie hasira afande... Adi atoke machozi