BOOOS
Member
- May 21, 2016
- 79
- 51
Mkuu, weka akiba ya maneno aisee.. Daah.. Unaongea maneno makali sana, hivi wakikusaka wakikuambia tuambia hao rafiki zako wako wapi utafanyeje, au wakikubananisha utaje hiyo sehem uliyotega itakuwaje... Dah.. Guys tupunguze maneno mengine, kwa ajili ya usalama wetu.