Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Naomba kuuliza wakuu, hiv muda wa kuanza mafunzo na kuripot kambini ni tofauti na wale wamujibu?maana wao wameambiwa waripoti trh 1-5/6.
 
Ndio mkuu yaan tokea tar 21 april ndo tumeanza kuja mpaka leo hii bado hatujamaliza mchakato aisee ila j4 ndo mbivu na mbichi kujulikana wanaosonga mkoani
Kiza kinapozidi kutanda kupambazuka kuko karibu mungu awafanyie wepesi
 
Back
Top Bottom