Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Wadau je ni kweli wizara ya mambo ya ndani imesitisha kutoa ajira kwa upande Wa polisi, magereza.,....?
 
Elimu huachwa getini kwa muda mfupi. Ila ukifika muda wasomi wanaenda monduli, hapo ndo wengine hujutia kwann walikimbia/waliacha shule. Maana hapo ndo umuhimu wa shule huonekana
Unajua vijana wengi sana mnajua ukiwa na elimu basi ukiingia jeshini kwenda Monduli is the must... Aisee.. Kuna series kali sana za interview. Tena ujipange kweli kweli aisee....

Na mbaya zaidi, ukichemka kwenye interview... Kuingia monduli itakughalimu sana... Na unaweza husiende tena.. Na ukaanza kupanda cheo taratibu kama wale wasio na elimu kama yako ya shahada..
 
Sawa mkuu, lakini still bado hao hao walipita interview za JKT wanachemka
Sawa Mkuu Ila tukibahatika kwenda huko Ni mengi Tutajionea wenyewe na Pia tutarelate na Kile mlichokisema nyie na pia tutabadilika kulingana na muda na mazingira husika.
Ahsanteni Sana kwa kuja na mwanga mzuri na wenye Kutupunguzia Over expectations (Illusions) .
Mimi Kwa upande Wangu shida Ni nafasi Tu ya kujoin J.k.t, issue zingine zinajipanga Kule Kule tena Kwa wakati wake maalum.
 
Dar usaili mkoani lini?
 
Dar usaili mkoani lini?
Kama ninavofaham Ni kwamba Temeke na Kinondoni Tyr usaili wa wilayani , kwa upande wa Ilala Ni Kesho Asubuhi kwa wilaya ndo utafanyika, Kino na Tmk wanasubiria tarehe ya kuambiwa Ni Lini watafanya mkoani Coz Temeke ilikua waambiwe Jana but bado mpaka ijumaa Ndo wataambiwa siku vile nadhani hata Kino na ilala.
Nadhani kuanzia next week hv ......
 
Mkuu nilisikia hizo issue zilisitopishwa ni kweli au uongo kutoka bungeni
 
Back
Top Bottom