Mikepoti
Senior Member
- Jun 5, 2014
- 101
- 136
kaka acha uongo zamani wasomi pia walikua wanapitia jkt then jwtz baadae wanapiga level 3 ndio wanafanya usaili wa kadet wakipita wanaenda TMA ni hivi juzi tu JK ndio alianza kuchukua proffessional uraini,jeshi bado lina uhitaji wa wasomi acha kukatisha tamaa wenzakoNilichokiongea ni kile kile ninachokiongea hapa.Wasomi ni wengi sasa jeshini na ndio maana hata ninyi wenye degree mnapitishwa JKT wakati zamani Professionals walikua wanatoka mtaani wanaenda TMA moja kwa moja