Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 12,459
- 18,186
Daaaa acha fedheha mkuuuKwani unadhani ukisomea uofisa nani kakwambia utapractize sheria wapi? mwishowe utakua to ofisa wa kawaida tu kama wengine, unakuja kustaafu ndo unaanza kuangaika jinsi ya kufungua kampuni. kumbuka unaweza kuishia makambi ya adhabu tu kama CHITA,ITAKA,NACHINGWEA n,k ambapo watu wanavuta bangi, pombe na umalaya tu.