Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Wakuu tuzidi kuombeana tutusue kinondoni mpaka sasa tumebaki watu 80 baada ya mchujo wa mbio za round 8 kwa wavulana na 6 kwa wasichana pamoja na interview ya kuandika short story ya maisha.
Hapo ndo mwisho wa nyodo nazitaman mbio hawajui tu haha round nane tu .....
 
Kuweka kigezo cha kuanzia 2010 huo ni ubaguzi wa wazi ilhali wanajua ajira ni changamoto nchi hii.kuna watu wa chuo wamemaliza 2008 mpka sasa hawana ajira...jkt tendeni haki
 
Kwani jkt inagawa ajira!?? Kuna mahusiano gani kati ya ajira na kumaliza chuo miaka ya 2010 na jkt!??
 
Wakuu tuzidi kuombeana tutusue kinondoni mpaka sasa tumebaki watu 80 baada ya mchujo wa mbio za round 8 kwa wavulana na 6 kwa wasichana pamoja na interview ya kuandika short story ya maisha.
Story ya maisha waliandika walioshinda mbio tu au hata wale walioshidwa mana watu walioshidwa walijaa sana pale wakisubiria second chance ya kuandika
 
Kama una moyo mgumu leo ilala kesho unaweza usirudi maana nafasi ni chache na watu ni wengi sana imagine degree wapo jumla 340 na diploma 270 ila wanaohtajka ni 11 kwa wanaume hapo dploma na bachelor na 7 kwa wadada hapo ni dploma na bachelor. ...eeh Mungu tujaalie mwisho mwema
 
Kaka samahani Degree Ni watu 385 ILA wanaitajika watu 11 This is what is called Survival for the Fittest.
 
Mafunzo si mi ya kujitolea? Mbona wanachagua watu sasa? Si wawapeleke wote waliokidhi vigezo vya afya!
 
National service is a way to all Doors of National security and Defense pia Kila kitu Kuna utaratibu ndo maana wanachagua.
 
Kuna suala la logistics.
- vyakula
- madawa
- maradhi
- mavazi
Na mengineyo ya msingi unayoweza kuyafikiria. Ndomaana kuna mchujo
kama swala ni logistics ,
Kwanini sasa wanabagua graduates wanawachukua kidogo? Si wawachukue kwa uwiano sawa? Kama kula si wanakula wote?
 
Si ndio hapo, sijui degree inaongeza uwezo wa kula. Mi nadhani hizi nafasi zingekuwa wazi kwa vijana wote wanaotaka "kujitolea" sababu inaeleweka wazi sio ajira zile so sidhani kama kunakuwa na kulaumiana. Kama tatizo ni hizi bachelor basi vyuo vifungwe coz ni vingi mno na vinazalisha graduates wengi tofauti na mahitaji halisi.
 
Back
Top Bottom