Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Wavulana wa Dar legelege sana,Okay JKT kuweni na hao vijana wa Dar,wengi wametoboa pua,vitovu,Sikio na ile sehemu mnayoifaham
Huyu bwege mpuuzi sana, yaani kazi yake ni kutoa comment za shombo kwenye thread za watu humu jf akiyatusi makundi fulani ya watu. We bro (dume jike sijui) lazima ulizaliwa kwa uzinzi kama sio tukio la ubakaji, tena huo uzinzi ulifanyika kwenye choo cha umma. Yaani anajifanya anajua kila kitu na anacho kila kitu. Kwake yye kila mtu boya tu.

Ona upuuzi wake mwingine huu hapa

27606cd3893ecf5e458ef3390352464a.jpg
 
Round hii mechi zinachezwa bila refa.. ngosha kabana balaa
Dar es salaam Yenu hii Vimemo vya Wakubwa Ni Vingi Sana Wee pale Ilala Leo Kuna watoto walikuja na wazazi wao nje ya Fensi na Pia kipindi tunapeleka Barua watu wanakuja na watu wanawasindikiza sisi watoto wa Wakulima ndo mbinde kupata hizo nafasi ILA wale Ni Kamemo Tu.
 
Mkoani wanahusika na nini kwa anae fahamu.... au ukishamaliza level ya wilaya ndo basi tena...????
 
Dar es salaam Yenu hii Vimemo vya Wakubwa Ni Vingi Sana Wee pale Ilala Leo Kuna watoto walikuja na wazazi wao nje ya Fensi na Pia kipindi tunapeleka Barua watu wanakuja na watu wanawasindikiza sisi watoto wa Wakulima ndo mbinde kupata hizo nafasi ILA wale Ni Kamemo Tu.
Mdomo uumba kaka jpe moyo jiamin utatoboa Mungu wetu sote yanini kukata tamaa??
 
Utashangaa zaidi huko NS kuna kuruta kila wakati wako wasafi na vitengo vyao wakati hawana ujuzi

Utapaniki zaidi kuapa na wengine ambao haujawahi kuwaona kikosini

Hii nchi hii ni zaidi ya tunavyoijua
 
Jamani tuzidi kuombeana....huku kwetu tulikua kama mia mbili tu...... Tumekimbizwa 5km.....tulipo fika likapitishwa panga balaaaaaah...wote wasio kua na chet home atawalioletewa baada ya tangazo.....tumebaki kama mia hivi ....shahada tupo 4 na stashahada wapo wa 4..... Na wanataka wavulana 4wasichana 2 waakiba 1 .....ila jumla tupo wavulana 8 na hakuna msichana.....tuombeane wakuuu mchakato unaendelea
 
iv kwa wale wenye degree ukichaguliwa kujiunga na jkt alafu kipindi bado uko jkt mtaani ajira zinatoka mshahara wa mtaani utaupata au ndo inakua imetoka. muongozo tafadhari.
 
Ajira gani ya mtaani?Kwani ukipata ajira ndio umepata mshahara tayari?

Skia,ukienda JKT maana yake umeignore maisha yote ya uraiani

Na hautaruhusiwa kutumia simu kipindi chote cha kozi

Na watachukua cheti chako wakae nacho ili usitoroke depo[emoji1] [emoji1] [emoji1] maana kazi zetu zikianza wengine huwa wataanza kujuta kwanini walijileta

Kila ka heri mkuu mzalendo
 
Shikamoo .
Lazima hapa kuikana Nafsi.
 
Jamani tuzidi kuombeana....huku kwetu tulikua kama mia mbili tu...... Tumekimbizwa 5km.....tulipo fika likapitishwa panga balaaaaaah...wote wasio kua na chet home atawalioletewa baada ya tangazo.....tumebaki kama mia hivi ....shahada tupo 4 na stashahada wapo wa 4..... Na wanataka wavulana 4wasichana 2 waakiba 1 .....ila jumla tupo wavulana 8 na hakuna msichana.....tuombeane wakuuu mchakato unaendelea
Kaka Peter Mungu Baba WA Mbinguni atakujalia Tu Kati ya hao wanaohitajika nawe Utakua Miongoni Mwao Amini Itakua Hivo .
God is able.
 
Jamani tuzidi kuombeana....huku kwetu tulikua kama mia mbili tu...... Tumekimbizwa 5km.....tulipo fika likapitishwa panga balaaaaaah...wote wasio kua na chet home atawalioletewa baada ya tangazo.....tumebaki kama mia hivi ....shahada tupo 4 na stashahada wapo wa 4..... Na wanataka wavulana 4wasichana 2 waakiba 1 .....ila jumla tupo wavulana 8 na hakuna msichana.....tuombeane wakuuu mchakato unaendelea
Cheti cha Degree au? Je Vipi Katika 5KM race wanaangalia nini hasa? Kumaliza Mbio au Kuongoza Mbio?
 
Back
Top Bottom