Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Unakataa mkuu?
Wee mwenye Masters unaweza kupata job mahali pengine it depends on masters in what Discipline, acha yule mdogo Wako na form four aliyekitaa kakosa Ada ya Chuo aende J.k.t , Mungu Baba akijalia apate job kwenye upande wowote WA majeshi yetu asaidie Familia yake na wale wanaomzunguka .
masters mi Kuna wakati nilitaka kuunga but Ada ya masters nkamwambia Mzee akakubali but baadae nkaja kuona kwamba sio , hyo acha madogo wasomee au panua business zako mi ajira ntapata Tu afu masters Ni mbwembwe Tu sijaona scale ya mshahara wake Bongo hapa.
 
Wee mwenye Masters unaweza kupata job mahali pengine it depends on masters in what Discipline, acha yule mdogo Wako na form four aliyekitaa kakosa Ada ya Chuo aende Mungu Baba akijalia apate job kwenye upande wowote WA majeshi yetu asaidie Familia yake na wale wanaomzunguka na je masters mi nilitaka kuunga but Ada ya masters nkamwambia Mzee kwamba sitaki hyo acha madogo wasomee au panua business zako mi ajira ntapata Tu afu masters Ni mbwembwe Tu sijaona scale ya mshahara wake Bongo hapa.
Scale za mishahara ya UNIVERSITY zote zinaenda kwa level ya elimu mkuu!, sema nimetafuta hizo nafasi niwe assistant lecturer nimekosa
 
Wakuu..leo mpo guard au?
Mkuu mi Kila siku nakesha Au kulala mpaka Saa Tisa kuamka saa kumi na moja naenda Mazoezini Nati za Usingizi zishalegea ,Starter na plague zake Pia zishaungua hazichomi kabisa.
 
Ufinyu wa mawazo wakili kwenda majeshini
Nadhani wewe ndo una ufinyu wa mawazo. Aliyekua mkuu wa kitengo cha sheria JWTZ, Major General Jovitus Rwegasira ni alumni wa law school. Sasa unaposema ni ufinyu wa mawazo kwa wakili kwenda jwtz, mimi naona ni mtazamo hasi
 
wakuu ivi mtu tayari Una degree law na pia umefaulu law school in short wakili..

je ni bora wakili aliyejiunga na jkt au kuwa wakili kitaa.... ipi inalipa..?

na je itachukua mda gani kujiunga na jwtz baada ya kumaliza jkt?

.[emoji17]
Hakuna tatizo, nenda tu mkuu. Mbona katibu mkuu wa wizara ya ndani wa sasa alipitia law school na alikua mkuu wa kitengo ch sheria Jwtz
 
Acheni Kudanganywa na Vi Law School Vyenu hivyo Watu Certified Public Accountant CPA (T) na Wameomba JKT huo Uwakili wako nani atakutambua wewe eti utakulipa Unapambana na watu wenye majina kama Tundulisu, Mkono, Marando Kama kwenu mna Firm ya Advocates ambayo ni Maarufu sawa Tanzania Siku hizi kila kitu kimetapakaa Siyo mambo ya zamani kuna Accountants, Lawyers, Engineers wanasota Kitaa Nenda JW na School Of lawa yako Uone utakavofaidika kwanza utakua mtu wa kwenda Course tuu siyo kukaa Makambini ndani ya Miaka 4 Utakua umeshakua Major Chamber za Advocates ziko nyingi sana sikuhizi.
Daaaah, kweli ukubwa wa pua si wingi wa kamasi. Hivi unaelewa ulichokiandika hapo? Did you hear yourself? At times you better keep quiet on things you don't understand.
 
Hivi wakati unasoma malengo yako yalikua nin, ? Mpaka unamaliza hujui nin cha kufanya na taluma huru kama hiyo labda ungeuliza ni jinsi gani ya kupata mtaji kwa taaluma uliyonayo , hawa ndo wasomi wetu wamefaulu mitihani hawajaelimika wanashindwa kukabiliana na changamoto ktk jamii wanasubir ajira. Think out of box.
 
Bado kuna tatizo kubwa kwenye mifumo yetu ya elimu. Sasa mkuu kwani jeshini kuna practice hadi uhangaike kupeleka post graduate yako kule au wadhani hiyo ni added advantage zinapotokea nafasi za jeshi?
 
Jamani tuzidi kuombeana....huku kwetu tulikua kama mia mbili tu...... Tumekimbizwa 5km.....tulipo fika likapitishwa panga balaaaaaah...wote wasio kua na chet home atawalioletewa baada ya tangazo.....tumebaki kama mia hivi ....shahada tupo 4 na stashahada wapo wa 4..... Na wanataka wavulana 4wasichana 2 waakiba 1 .....ila jumla tupo wavulana 8 na hakuna msichana.....tuombeane wakuuu mchakato unaendelea
Wilaya gan peter??
 
Back
Top Bottom