Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mkuu sasa katika ivyo vyombo vya ulinzi vyote ulivyotaja hapo kama mimi nataka kuajiriwa na JWTZ tu na si vinginevyo nifanyeje?...je wakija hao polisi, magereza na wengine nisifanye usaili wao au uo kila chombo cha ulinzi kikija ni lazima kufanya usaili wao?
Mkuu pigania nafasi ya jkt kwanza hayo maswali yatajijibu yenyewe ukishafika huko !
 
ACHENI KUTAPELI WATU. NAFASI HAZIJATOKA. MPAKA BURGET 2016/2017.MUNAVUMISHA MAMBO ILIMUWAIBIE VIJANA WANAOZITAFUTA. NAFASI HIZO. TAJENI NI GAZETI GANI NA LA TARE. GANI.
we unaelewa systems za kuchukua vijana jkt????
au unaropoka mkuu,..then kuandika kwa herufi kubwa ni=na kupiga kelele
kimakonde=unamemena kalele
 
unataka nijibu nini cha ziada na wakati tangazo linajibu maswali yote hayo?yani tangazo ni self-explanatory indeed.
Ata mwalimu akimaliza kufundisha anahakiki alicho kifundisha na kuhuliza 'jamani mmenielewa asienielewa anyoshe kidole'ladhima kuna watu wasiolewa vizuri sio kila mmoja anauelewa sawa tuwe wavumilivu wa kuwavumilia wasioelewa au watu wagumu kuelewa ndivo walivyoumbwa na allah
 
Habari wakuu, Mimi nategemea kumaliza Chuo mwaka huu mwezi wa sita so inakuaje Kama nitaamua kutuma maombi kwa kutumia provisional results ?
 
Habari wakuu, Mimi nategemea kumaliza Chuo mwaka huu mwezi wa sita so inakuaje Kama nitaamua kutuma maombi kwa kutumia provisional results ?
mkuu kwa huo mwezi provisinal results zitakua zimetoka kweli???? anyway ungetumia vyeti vya o-level or advance
 
Habari wakuu, Mimi nategemea kumaliza Chuo mwaka huu mwezi wa sita so inakuaje Kama nitaamua kutuma maombi kwa kutumia provisional results ?
Don't rush bro tuliza akili maliza chuo au kama una haraka napo jeshin unwweza kuandka barua ya kupostipone mwaka ukamalzia mwakan chuo .....mwsho wa kufanya maombi kwa tarehe 20 ina depend na wilaya uliopo
 
Back
Top Bottom