Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

vijana morari morari nendeni mkanywe maji mengi..kule kuna kawimbo mtaimba kanaitwa "HATULALI MPAKA ASUBUHI" ngoja niwaimbie kidogo;

Hatulali eeeh eeeeh, hatulali mpk asubuhi,

Hatulali eeeh eeeeh, hatulali mpk asubuhi,....

yaani huo wimbo una maneno machache lakin mnaweza mkaimba kuanzia kimara hadi magomeni...JKT bwana kuna vitu vingi mtakaoenda mtajifunza...
 
Nani kakudanganya mafunzo ya jkt. Ysnafanyika msata. Halafu unadai umeelezwa na wanaomaliza mafunzo Kuwa nafasi zimeto, hivi unadhani mafunzo ya jkt sawa na mafunzo ya Veta. Kujua wengine wataingia lini. Kama hujui taratibu uliza uambiwe ACHENI uongo nafasi za jkt bado hazijatngazwa. Mkome.
Mda mwingine kuuliza ni muhimu kuliko kubisha kijinga jinga...kama hujui omba ufafanuzi...shame on u!
 
KKuna kitu nataman kueleweshwa,,tamaa yangu ni kwenda JW japo najua unatakiwa upitie JKT,,swali langu ni kwamba,,baada ya kumaliza miezi sita ya JKT ukienda JW kuna mafunzobya miezi sita kama ya JKT au inakuaje mpaka uwe mwanajeshi kamili inakuchukua mda gani???
Kwa wenye uelewa tafadhali msaada
 
sku hizi lazima upitie JKT(jeshi la kijana wa Tanzania..joke) ule msoto wa miez 6. baada ya hapo unaingia mkataba wa miaka 2 unasubir ajira.. ndani ya huo mkataba kuna taasisi mbalimbali za ulinzi zitakuja kuchukua vijana kutokana na sifa zao kama magereza, zimamoto, polisi, migodi, bandarini ,TANAPA, usalama wa Taifa, suma jkt, jeshi la wanaume(JWTZ). ukifanikiwa utaenda tena kupiga kozi ya mda fulani kutokana na taasisi iliyokuchukua...Mkataba ukiisha afu hakuna chombo cha ulinzi kilichokuajiri utarudi nyumbani.

KARIRI;
Ili uwe na uhakika wa kuajiriwa pitia jkt huku ndo kuna vyombo vingi vya ulinzi vinakuja kuajiri vijana,pia wanaamini hawa ndo vijana wakakamavu..maana polisi sometime uchukua uraiani lakin sio ya kuiamini sana hii ya uraiani..

KIKUBWA NI UVUMILIVU MAANA SAFARI NI NDEFU SANA..

kama kuna swali uliza tena...
 
Monduli Course huchukua Miezi 12 isiyokua na Likizo.
 
daah sasa inakuaje m cna leaving cirtificte ila nina academic certificate .. inakubaliwa iyo? na je lazima usainishe sehem izo zote?ie kwa kata na mtendaji
 
Kam umemaliza chuo nilazima uweke cheti cha std 7, leaving certifaicate...?
Sisi wazee vipi tulio maliza STD 7 2002? AU fm4 2007?
daah sasa inakuaje m cna leaving cirtificte ila nina academic certificate .. inakubaliwa iyo? na je lazima usainishe sehem izo zote?ie kwa kata na mtendaji
Waluomaliza form 4 mwaka 2015 wanahusika

Enyi viumbe wa Allah,hivi ni kwamba tangazo hamkulisoma hapo juu au mmelisoma ila hamjalifahamu vizur?men apply according to the strength of information provided.
 
Kama una la kuajibu wajibu tu tuvumiliane kwa mapungufi yetu
 
sku hizi lazima upitie JKT(jeshi la kijana wa Tanzania..joke) ule msoto wa miez 6. baada ya hapo unaingia mkataba wa miaka 2 unasubir ajira.. ndani ya huo mkataba kuna taasisi mbalimbali za ulinzi zitakuja kuchukua vijana kutokana na sifa zao kama magereza, zimamoto, polisi, migodi, bandarini ,TANAPA, usalama wa Taifa, suma jkt, jeshi la wanaume(JWTZ). ukifanikiwa utaenda tena kupiga kozi ya mda fulani kutokana na taasisi iliyokuchukua...Mkataba ukiisha afu hakuna chombo cha ulinzi kilichokuajiri utarudi nyumbani.

KARIRI;
Ili uwe na uhakika wa kuajiriwa pitia jkt huku ndo kuna vyombo vingi vya ulinzi vinakuja kuajiri vijana,pia wanaamini hawa ndo vijana wakakamavu..maana polisi sometime uchukua uraiani lakin sio ya kuiamini sana hii ya uraiani..

KIKUBWA NI UVUMILIVU MAANA SAFARI NI NDEFU SANA..

kama kuna swali uliza tena...
Mkuu sasa katika ivyo vyombo vya ulinzi vyote ulivyotaja hapo kama mimi nataka kuajiriwa na JWTZ tu na si vinginevyo nifanyeje?...je wakija hao polisi, magereza na wengine nisifanye usaili wao au uo kila chombo cha ulinzi kikija ni lazima kufanya usaili wao?
 
kama unataka kujiunga na jwtz subiri usahili wao ukija utafanya, uzuri wake km una sifa wanazozihitaji wao unachukuliwa bila longo longo...pia unaweza kufanya usaili vyombo mbalimbali vya ulinzi kama vyote vikitiki utachagua pa kwenda
 
Back
Top Bottom