Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Si kwel mkuu nyota ya pili haina kozi hiyo inatolewa kwa wote waliofuzu mafunzo ya officer cadet.
Isipokua ni kwamba wenye shahada wanavishwa baada ya miezi sita na wenye kidato cha sita na stashahada wanavishwa baada ya mwaka mmoja,

Asante mkuu kwamaelezo yako.
 
Si kwel mkuu nyota ya pili haina kozi hiyo inatolewa kwa wote waliofuzu mafunzo ya officer cadet.
Isipokua ni kwamba wenye shahada wanavishwa baada ya miezi sita na wenye kidato cha sita na stashahada wanavishwa baada ya mwaka mmoja,
Na inachukua muda gani toka Officer mwenye Nyota Mbili Kuwa na Cheo Hicho Mpaka Kwenda Course ya Company Commander (Captain)?!!
 
Na inachukua muda gani toka Officer mwenye Nyota Mbili Kuwa na Cheo Hicho Mpaka Kwenda Course ya Platoon Commander (Captain)?!!
Platoon Commander inafanywa na Liuetenant. Capten anafanya Company Commander ambayo inakuwa inaongoza platoon mbili mpaka tatu.
 
Jaman ushaur kidogo naomben mimi nimehitimu kidato cha sita 2016 sikufanikiwa kujiunga na chuo kikuu je inawezekana kupata nafas ya kujiunga na jkt ??
 
Shukrani Mkuu, tuibie Ronja Kidogo nini tutegemee kukutana nacho Mafunzoni!!!


Ha ha ha ha kijana mafunzo ndo Yale Yale sikuzote, maana syllabus ndo Ile ile haijabadilika so hakuna kipya, usiogope kikubwa uvumilivu na nidhamu katika kipindi chote utakachokua kikosini.
 
Back
Top Bottom