Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Waambie kabisa kama wakitaka kua madoja basi sharti wawe na nguvu na kunywa maji ya kutosha...


Ha ha ha ha wavumilie doso tu!

Huku ni heri upigwe doso tu maana yanaishia hapo hapo ila ukiambiwa uandike maelezo ujue umeumia na chance yakuja kupata ajira ni ngumu coz hayo maelezoyako yatakua attached kwenye file lako.

Kudoji kupo ila doji kwa akili Sana make sure roll call ikipitishwa usikosekane.
 
Ha ha ha ha wavumilie doso tu!

Huku ni heri upigwe doso tu maana yanaishia hapo hapo ila ukiambiwa uandike maelezo ujue umeumia na chance yakuja kupata ajira ni ngumu coz hayo maelezoyako yatakua attached kwenye file lako.

Kudoji kupo ila doji kwa akili Sana make sure roll call ikipitishwa usikosekane.
RTS kihangaiko niliandika maelezo sana mkuu sema bas 2 ndovile mzee nae alikua ana ka position flan so nikawa narushiwa mataulo
 
Gud...zimefika
Kuna pte Plato msalimie pia ,sir gema matron msalimie pia ,msalimie chachandu pia ,utamsalimia matonya pia ,utamsalimia captain litanda ,utamsalimia pia Mr RSM mgimbi atilio huyu jamaa ni jembeeee sana RSM making sana kikosi cha ruvu ukweli namkubali sana
 
Kifupi hii nchi inabana matumizi na pia inapambana na rushwa simple logic tuu baba kanituma wote form walikua wananunua(rushwa)au undugulazation izo zote Mimi naziita rushwa ambazo serikali ya awamu hii inapambana Nayo kwa nguvu zote.
Hitimisho;Kwa maelezo yangu hapo juu baba kanituma hazipo mbona awamu hii usaili ulikuwa wazi sana na wenye sifa wote wamepita binafsi sijatumia hata sh 1 kutoa rushwa, wazee nawashaur mjipange mwakan mtupe tena karata yenu kumbuken jkt makao wamekanusha Mara kadhaa hakuna MTU awezae kumwingiza jeshin pasipo kufanya usaili mikoani kama walivyofanya may na June nafikiri nine eleven's nawatakia kazi njema.
Kumbukeni huu ni utawala mpya na una taratibu zake msiishi kwa kukariri.
Dogo Inaonekane wee Ndio Unaingia Jkt Bado Ujawa mwanajesh

Kwa Taarifa yako Huwa kuna Form Za viongoz wakubwa wa makambi na wakubwa tofaut tofaut

Wengi wao Hawafanyi Usahili popote wao wanasubil Form tuu

Tena Ukimkuta MTu Dingi yake Cheo Kikubwa Anakuja mwisho Wa koz Uyu Anakuwa sawa na wee Uliye Anza Tangu Dec1

jeshin Kuna Fitna Ambazo Hujawai kuziona

Ngoja Nikupe ronja Nyingine Kuna hawa dada zetu Hao Ni Chakula Cha Wakufunzi

Kuna Kitu Inaitwa Sick Day

Mkufunz Anamwambia Dada ako Nakupa Sick Day 5 Yan Hapo Haguswi Coz Anajulikana Kama mgonjwa ila ni mzima

Nenda ndio Utalijua jeshi Lipoje
 
Kama Una Uzoefu Kidogo na hizi Issue, Hebu tuibie Ronja Kidogo, nini tutegemee huko JKT, nikiwa na maana Ya mafunzo na shughuli za siku kwa siku Vikosini?!!!
Jkt Ni Mazoez Na Mazoez Ni mazoea

Jkt Mtapata Shida Siku Za Mwanzon Baada ya Hapo Utaona Mwili Unakubali Mazingira

Raha sana pindi Utakapo Ona mwil Unakubali Mazingira

Afu Usijidanganye kwa mazoez ya Mtani Ukapeleka Kule Jkt Et Mi Nilikuwa napiga Tiz Mtaani icho Kitu Hakuna

Unaweza Ukapiga Tiz Mtaani Ukifika Kule Unadevela

Na Kuna mwingine yeye Hapigi Zoez Lolote Na Akienda kule Yupo Vzr Kuliko Wee uliye kuwa unapiga Tiz
 
  1. waeleweshe vizuri afu jeshini hamnaga rushwa hizi nafasi zinatokaga kama gift of honor kwaaskali wa kada mbalimbali na kuhusu wala la wanaendaje fomu zinatolewa then unaangiwa na kambi ili kufanya mjazo wawale ambao hawakujiunga na mafunzo kwa sababu mbalimbali kama magonjwa, vifo n.k na usizani kama ulifanya usaili miez minne nyuma na kuhakkikiwa ukawa safi temu hii ukienda lazma uhakikiwe tena na ninaimani wengi mtarudi tu maana miez minne migiz sana kwa magonjwa nyemelezi kuingia mwilin
Nais Wee utakuwa Askar mwenzangu

Umeongea point tupuu
 
Back
Top Bottom