Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Ulizen ushaur sio kulalamika, tumien akili zenu,ukiona wamekubana acha kwenda wenzako wataenda, hv mtu hata hujiongez mpaka unalalamika! Kwani usafr upo tar 1 tu? Nmeamn watu hawataacha kulalamika mpaka wanakufa, una siku karbia 20 kujiandaa lakn bdo unalalamika ungeambiwa cku 3 kwenda c ungelia kama walokosa mkopo elimu ya juu! Mtu ukiondoka tar 30 ukafka mapema ukasubr cku ya kuripot kuna tatzo? Ukiambiwa interview tar 1 Dar na unaish mkoan hua mnafanyaje? Tumia uelewa mambo mengne sio lazma ulalamike na kuomba ushaur!
Pia jeshini ukiambiwa kuripot tareh 1 ila ukaripot siku mbili kabla ya hiyo tarehe utapikelewa vizuri tu na mahitaji yote utatekelezewa..... Waache kukariri et tareh 1 tu noo, hata ukichelewa siku kadhaa kabla ya mafunzo kuanza utapokelewa tu. Wasilielie bhana khaaa


Nahis wengi wao ni wa kisasa hawa vjana eeeh
 
Baba Kanutuma Binafsi Naisi Itahusika

Kwa Sababu Kuna Makambi yameongezeka Bila Hata Kwa Gafla kuna Baadhi Ya Vijana Watakosa sifa Pindi Watakapo Anza Kulipot Makambin Magonjwa ulemavu Na Baadhi Ya wengine Kushindwa kulipot Kwa kukosa Naul

Ivyo Baadhi Ya makambi Vijana Kupungua

Siwaombia Mabaya Ila mambo Mengine Tuyaangalie Kwa Jicho La 3

Kila La Kheli Vijana watakao Enda mungu Awalinde Na kuwaongoza Na Mludi Salama Tayali Kulitumikia Taifa Na Familia Zenu

Mungu Ibaliki Tanzania Mungu wabaliki Vijana Wa Jkt wote
amina
 
Mara nyingi huwa upelelezi Wa kijeshi lazima ujuwe mapwork .... Halafu usiseme muongo ... Askari wengi shule hakuna mm si nawaona na nafanya nao kazi kaka
Wale wanaume waliovamia Westgate pale Kenya naskia walikua na masters, wengine Phd.
Nadhani hawakufanya jambo jema ila elimu yao iliwasaidia kutekeleza uhuni ule.
 
Afande: kurutu nyie ni vichaa, waziii? (si ndio)

Kuruti: wazi afandeee! (ndio afande)

Sasa wewe kataa uone manjobeko ya kamanda mkalakala... Tunawasubiri kwa hamu kunyweni maji mengi mpaka moyo uelee..

Regards:
Elimringi Moshi
0714112062
0767112062
Eli mringi nambie changamoto kubwa sana zinazo patikana huko...

Mi nakuja huko nipo na zamo
 
KWA WALE WENZANGU WA DAR TO 842 KJ MLALE SONGEA

KUTOKA DAR TO SONGEA NI TAKRIBANI MASAA KUMI NA NNE (14).UKITOKA UBUNGO SAA KUMI NA MBILI ALFAJIRI (12) UTAFIKA SAA NNE (4) USIKU SONGEA NA SIKU YA KURIPOT KAMA ILIVYOTANGAZWA TAREHE MOJA.

SWALI JE WATQLALA SONGEA MJINI NA KESHO YAKE NDIO WARIPOT TAREHE 2 AU UNAFIKIRI UTATUMIKA UTARATIBU GANI ILI KUWEZA WOTE KUFIKA KATIKA WAKATI SAHIHI?
subiri utaratibu kutoka makao makuu ya jkt
 
KWA WALE WENZANGU WA DAR TO 842 KJ MLALE SONGEA

KUTOKA DAR TO SONGEA NI TAKRIBANI MASAA KUMI NA NNE (14).UKITOKA UBUNGO SAA KUMI NA MBILI ALFAJIRI (12) UTAFIKA SAA NNE (4) USIKU SONGEA NA SIKU YA KURIPOT KAMA ILIVYOTANGAZWA TAREHE MOJA.

SWALI JE WATQLALA SONGEA MJINI NA KESHO YAKE NDIO WARIPOT TAREHE 2 AU UNAFIKIRI UTATUMIKA UTARATIBU GANI ILI KUWEZA WOTE KUFIKA KATIKA WAKATI SAHIHI?

Mkuu ni vema ukaanza Safar hata tarehe 29, two days before Kuna inconvenience's za hapa na pale ambazo zaweza kutokea, usipende kufanya vitu katika siku ya deadline kabisa.
 
Wazalendo:;;;
Kwny tangazo la wazr wa ulinz alisema kuwa form six pia wanapaswa kuliport makambin sasa je, wanaungana Na wale volunteer au wanaenda kwa mujibu wa sheria?

Mwenye uelewa juu ya Hilo anjuze ...!!
Hao ni mujibu wa sheria na wanasubiri utaratibu wao wa kuripoti lazima wao wawekewe majina na vikosi wanavyoenda na kozi yao ni miezi mi3 then wanarudi home.
 
Si utumie akili! Nenda kabla ili siku yenyewe uwepo! Mbona wagumu kuelewa? Ndo mmeambiwa mapema mjiandae namjue mnafanyaje! Kwani wamesema usafr tar hyohyo? Hebu mtumie akili! Kama mbali ulikopangwa nenda cku 1 kabla! Naona wengne kuelewa kwenu kugumu sana!
wasubiri utaratibu kutoka makao makuu ya jkt...
 
Back
Top Bottom