Kaptain Punda Dume
Member
- Oct 11, 2016
- 86
- 95
hiv kilichokua kinasubiliwa ni muongozo kutoka makao makuu au taarifa ya kuripot
Wanaosubiri muongozo kutoka kwa mmjkt ni madogo wa six Ila wale wakujitolea tayari wengi wao Kama sio wote washapangiwa vikosi so kilichobaki ni kuripoti tu.