Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

hiv hiz taarifa zimetolewa mitandaoni tu sasa ambae azikutolewa kwenye chombo cha habari chochote sasa ambae hajaziona hii habar itakuaje
Mkuu uko wapi na wewe.. Watu tumeziona Azam TV, ITV, Nipashe, Mwananchi. Hivyo vyote ni vyombo vya habari
 
Hatimaye mambo yameiva,,,,,,ushauri wangu mkacheki afya zenu kabla ya kwenda usije ukasota miezi 6 buree kule
 
hiv ukitumia vilevyi mfano mirungi,pombe ukija kupimwa kuna athar zozote zinazobakia kwenye damu kutokana na ivyo vilevyi
 
Naomben muongozo wakuu sikuwa na simu sijui hata process zimefikia wap na sijui pa kuanzia
 
Upo chomboni unashindwa kuelewa vitu kama hivi hutokea? Sio kuharibiwa jeshi, ni mipangilio tu ya jeshi lenyewe wakuu wamekaa wameamua hivyo wewe unabisha mbona hubishi wale mujibu form six wamekwenda hadi TMA na wamekuwa maofsa sembuse hili la MT no?? Unafkiri ukipewa MT no ndio kozi basi?? Kozi ipo palepale itapigwa sema MT inatolewa baada ya mtu kufikisha miezi 6 mfululizo na kuendelea hadi mwaka na ukiangalia watu washakaa miezi karibu 10 hadi sasa, fuatilia mambo
Wewe unasema usiyoyajua, unaongea ya mitaani.
 
Back
Top Bottom