Dizaini yake ndo huwa matapeli wa mjiniIla Huyo nkang chief noma kwa waanga wa mikopo yupo,walimu wanaosubir ajira yupo,uzalendoni (jkt) yupo aisee huyo jamaa ni shida
Dizaini yake ndo huwa matapeli wa mjiniIla Huyo nkang chief noma kwa waanga wa mikopo yupo,walimu wanaosubir ajira yupo,uzalendoni (jkt) yupo aisee huyo jamaa ni shida
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tukutane 2020 jimbo la jakataH
Ha ha ha ha...nkanga sio mtu wa mchezo mchezo...yupo kwaajili ya kutetea haki za wengi#mwanasiasa.
jambo sir salute kwa captnJamboo jamboo afande nkaga
sahau jamaa kala viroba tuHarufu ya pilau
Yupo kazini huyoIla Huyo nkang chief noma kwa waanga wa mikopo yupo,walimu wanaosubir ajira yupo,uzalendoni (jkt) yupo aisee huyo jamaa ni shida
jamaa yuko kila idara aseeeIla Huyo nkang chief noma kwa waanga wa mikopo yupo,walimu wanaosubir ajira yupo,uzalendoni (jkt) yupo aisee huyo jamaa ni shida
Mkuu uyo ndugu yako wa oljoro kaambiwa na nani mana jamaa angu ana wiki sa hv tangu achukue pass na hajui hzo habari..mhKuna jamaa katoka oljolo ana pass wameambiwa Kat ya tarh 25 wanaanza koz ya ajila ila wa kujitolea kat ya mwz uu au au mwanzon mwa mwez wa 11 mwanzon
Anasemaje kuhusu kuingia jkt ni lini?Yah nliambiwa kuna news leo itaingia ya taadhari kuhusu matapeli na kweli imeingia namuamini sana ni mshikaji wangu yupo makao
Hivi week ijayo Hua haifiki?dah kweli faraja Ni nzuri kwa watu.Hivi karibuni tutakula hata mfupa..kwa kudokezwa lini tutasepa..soon wazalendo..wiki hii au ijayo..
braza kuna watu na mibuyu yao kakaMkuu uyo ndugu yako wa oljoro kaambiwa na nani mana jamaa angu ana wiki sa hv tangu achukue pass na hajui hzo habari..mh
Hili Jukwaa watu wanafarijiana sana
jukwaa la matumaini wazee wa jakata ntia moyo akiwa Moto wa Maji, Nkanga hata aeleweki sijui n balozi wa majukwaa yote juzi nmekuta amepost et naye n wale waliosimamishwa kazi kupisha uhakiki ww Nkanga kweli upendi ugnga,Hili Jukwaa watu wanafarijiana sana