Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

kwenda jeshi mtaenda tu ila msibweteke kukaaa mnakula bata tambua damu jeshini ndoo kila kitu wewe chafua damu ndoo utajua kuwa life gumu kitaa lindeni damu zenu kama mioyo yenu wazi ????ukijifanya mkuda utakitwa na wabeshi hii intakke kazi mnayo watu lazima wanye damu na nyongo vijana wa kutosha wapo kutoka msata tpdf maservice girls na boys njooni na mapuza yenu lazima mtu akate mavi maana mnajifanya mmeiva sana sijui mnadouble depo ndoo mtajuta
Ha ha ha ha hawazi afande nmekuelewa sana afande hasa hapo mwanzoni umebonga njema sana ,kurutu sifa damu .
 
Naona vjana wamekubaliana na hali halisi ,vema sasa tusubiri maelekezo kutoka ngome kpitia mmjkt hatimae washauri wa mgambo
 
We jamaa unakera na mineno yko yeny ugwadu. Kunya damu ndo nn? Acha upuuzi tumia lugha vzr.unatish vijana nnamashak na level yko ya elimu. Kuwa mstaarabu bn.
kama unaogopa matusi utaweza kupigana vijana wa M23 kama ndo uko hivyo jeshi halikufai maana kule kuna kisima cha maneno ya kukera
 
[quote uid=372771 name="steam of ice" post=16712237]We jamaa unakera na mineno yko yeny ugwadu. Kunya damu ndo nn? Acha upuuzi tumia lugha vzr.unatish vijana nnamashak na level yko ya elimu. Kuwa mstaarabu bn.[/QUOTE]<br />kama unaogopa matusi utaweza kupigana vijana wa M23 kama ndo uko hivyo jeshi halikufai maana kule kuna kisima cha maneno ya kukera..[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Back
Top Bottom