Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 4,160
- 11,483
Kichwa cha habari kinajitoshereza. Naomba wataalamu wa umeme mnisaidie. Ni ukubwa wa nyumba kwa kiwango gani nalazimika kutumia 6 ways badala ya 4 ways main switch (single phase)?
Kuna kisanduku cha kifaa cha umeme kinakuwa ukutani mwa nyumba, ukikifunua kuna viplastic ukivisukuma vinalia "ta" "ta" yaani hapo unazima na kuwasha umeme
Njia 4 inatosha tuNa kama nataka kufanya biashara ya kuchomelea (Welding). Distribution box (Main Switch) ya aina gani nifunge?
kuna kazi inaandaliwa, ikiwa tayari itakuhusu. umeitendea haki taaluma yako.Main switch ya 4 way au ya 6 way hiyo huwekwa kwenye nyumba ya kimaskini sana ila nyumba za wenye pesa basi utakuta kuanzia njia 8 au 12 au ikiwa mahitaji ni makubwa zaidi basi tunatoka kwenye single phase tunaenda kwenye 3 phase.
Kwenye hiyo main switch ndani yake huwa kuna kitu kinaitwa MCB, hizi MCB hujigawa kulingana na matumizi ya vitu na kila MCB ina ukubwa wake wa kubeba mzigo. Ipo ya:
1) 6 ampere
2)10 ampere
3)15 Ampere
4)20 ampere
5)30 ampere
Na zaidi.
Kwa hiyo kwenye main switch ya njia 4 unaweza ukakuta wamekuwekea MCB ya 10, 15, 20 na 30 Ampere.
Ni maelezo marefu sana ya kiufundi ila kufupisha ni kwamba kiufundi uwa
*Taa inachukua 1 Ampere
*switch socket inachukua 5 Ampere
*cooker uwa tunaweka kwenye MCB ya peke yake yenye ukubwa kuanzia Ampere 20 Ampere
*AC uwa tunaweka kwenye MCB ya peke yake yenye ukubwa wa kuanzia 20Ampere( Na main switch ya single Phase ina uwezo wa kusukuma AC 2, zinapozidi uwa tunamshauri mtega aweke umeme wa 3 phase.
Na pia zipo AC kubwa zinazotumia umeme mkubwa wa 3 phase.inamaana hii ukiweka hata 1 tu kwenye single phase bado haiwezi ikafanya kazi)
* Water heater uwa nayo imawekwa kwenye MCB ye peke yake kuanzia 20 Ampere na kuendelea.
* Water pump nayo uwekwa kwenye MCB ya peke yake yenye kuanzia 20 Ampere.
* Cooker uwa nayo tunaweka kwenye MCB ya kuanzia 25 Ampere na kuendelea.
Kwa hiyo kama kwenye nyuma unaitaji Taa 20 lazima utazigawa kwenye MCB 2,kama utaitaji Switch socket 8 unazigawa kwenye MCB 2, ukiwa na Heater utachukua MCB 1, ukiwa na Cooker utachukua tena MCB 1, mafeni utaweka kwenye MCB 1, Water pump utaweka kwenye MCB 1..kwa hiyo jumla utakuwa umetumia njia 8.
Na huwa sio vizuri utumie MCB zote maana ni vizuri ibaki inapumua kuliko kujaza mzigo wote
Picha ya kwanza ni MCB yenyewe. Na picha ya pili hiyo ni bodi ya Main switch ya njia 8 nikiwa naifitisha ukutani. Mwenye nyumba alinipa mahitaji yake ndo tukanunua ya njia hizo.
Kwa msaada zaidi wa kiufundi nipigie namba 0652868486 View attachment 1336009View attachment 1336010
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi nimemkubali Jamaa anajuakuna kazi inaandaliwa, ikiwa tayari itakuhusu. umeitendea haki taaluma yako.
Kiongozi! Nataka kuweka switch socket moja nje ya ukuta wa nyumba kwa ajili ya kuchomelea (welding). MCB current inatakiwa iwe ya kiasi gani na wire umatakiwa uwe na unene millimeter ngapi?Main switch ya 4 way au ya 6 way hiyo huwekwa kwenye nyumba ya kimaskini sana ila nyumba za wenye pesa basi utakuta kuanzia njia 8 au 12 au ikiwa mahitaji ni makubwa zaidi basi tunatoka kwenye single phase tunaenda kwenye 3 phase.
Kwenye hiyo main switch ndani yake huwa kuna kitu kinaitwa MCB, hizi MCB hujigawa kulingana na matumizi ya vitu na kila MCB ina ukubwa wake wa kubeba mzigo. Ipo ya:
1) 6 ampere
2)10 ampere
3)15 Ampere
4)20 ampere
5)30 ampere
Na zaidi.
Kwa hiyo kwenye main switch ya njia 4 unaweza ukakuta wamekuwekea MCB ya 10, 15, 20 na 30 Ampere.
Ni maelezo marefu sana ya kiufundi ila kufupisha ni kwamba kiufundi uwa
*Taa inachukua 1 Ampere
*switch socket inachukua 5 Ampere
*cooker uwa tunaweka kwenye MCB ya peke yake yenye ukubwa kuanzia Ampere 20 Ampere
*AC uwa tunaweka kwenye MCB ya peke yake yenye ukubwa wa kuanzia 20Ampere( Na main switch ya single Phase ina uwezo wa kusukuma AC 2, zinapozidi uwa tunamshauri mtega aweke umeme wa 3 phase.
Na pia zipo AC kubwa zinazotumia umeme mkubwa wa 3 phase.inamaana hii ukiweka hata 1 tu kwenye single phase bado haiwezi ikafanya kazi)
* Water heater uwa nayo imawekwa kwenye MCB ye peke yake kuanzia 20 Ampere na kuendelea.
* Water pump nayo uwekwa kwenye MCB ya peke yake yenye kuanzia 20 Ampere.
* Cooker uwa nayo tunaweka kwenye MCB ya kuanzia 25 Ampere na kuendelea.
Kwa hiyo kama kwenye nyuma unaitaji Taa 20 lazima utazigawa kwenye MCB 2,kama utaitaji Switch socket 8 unazigawa kwenye MCB 2, ukiwa na Heater utachukua MCB 1, ukiwa na Cooker utachukua tena MCB 1, mafeni utaweka kwenye MCB 1, Water pump utaweka kwenye MCB 1..kwa hiyo jumla utakuwa umetumia njia 8.
Na huwa sio vizuri utumie MCB zote maana ni vizuri ibaki inapumua kuliko kujaza mzigo wote
Picha ya kwanza ni MCB yenyewe. Na picha ya pili hiyo ni bodi ya Main switch ya njia 8 nikiwa naifitisha ukutani. Mwenye nyumba alinipa mahitaji yake ndo tukanunua ya njia hizo.
Kwa msaada zaidi wa kiufundi nipigie namba 0652868486 View attachment 1336009View attachment 1336010
Sent using Jamii Forums mobile app
Main switch ya 4 way au ya 6 way hiyo huwekwa kwenye nyumba ya kimaskini sana ila nyumba za wenye pesa basi utakuta kuanzia njia 8 au 12 au ikiwa mahitaji ni makubwa zaidi basi tunatoka kwenye single phase tunaenda kwenye 3 phase.

We Install 6 mm² Cable instead of 4mm² cable to avoid large Loss of Powers ( I²R ) japo hata hiyo ya 4 mm² inaweza kutumika endapo huna matumizi makubwa ya Umeme ( Una taa labda na Charging System chache huna Cooker wala heater)