Mafundi umeme, nipe faida ya kufunga 6 ways badala ya 4 ways Distribution Board

Morning_star

JF-Expert Member
Apr 21, 2018
4,008
10,967
Kichwa cha habari kinajitoshereza. Naomba wataalamu wa umeme mnisaidie. Ni ukubwa wa nyumba kwa kiwango gani nalazimika kutumia 6 ways badala ya 4 ways main switch (single phase)?
 
Wingi wa vifaa ndani ( watts nyingi ) ndio unasema uweke ways ngapi,

Chukulia una vifaa hivi nyumbani:

Cooker inakula way (njia ya peke yake)

Heater ya water systems nzima inakula way(njia) ya peke ake

Mfumo wa taa unakula 2 ways

Mfumo wa socket unakula 2 ways

Jumla 6 ways

Na mavifaa yakizidi, unaongeza phase system ( kutoka single mpaka 3 phase)

Ukienda Vingunguti nyumba ya vyumba 6 inakula 4 ways

1 ni kwa taa zote

3 ni kwa socket
 
Halafu sio "Main switch", kimsingi inaitwa Distribution Board and not main switch.

Umuhimu au ulazima wa kuweka distribution ya njia sita au nne inategemea na vitu ulivyonavyo ambavyo vitajigawanya kwenye hizo njia(ways) za kwenye distribution board(Ambayo wengi wenu mnaita Main Switch.)

Kwa mfano, nyumbani kwako let say kuna jumla ya taa 15 - 20, hapo unaweza kuzigawa katika sakiti mbili katika distribution board.

Tuchukulia tena nyumbani kwako kuna switch socket 10, unaweza ukaweka socket 5 kwenye njia moja na socket nyingine 5 kwenye njia nyingine.

Tuchukulie tena una jiko la umeme, pump ya kisima, Air Conditioner etc... Njia za umeme lazima ziongezeke kadiri mahitaji yanavyokuwa.

Lakini pia mafundi wengi huwa hawatulii maanani kuweka spare walau mbili kwenye distribution board... Spare ni muhimu sana kuwepo maana kuna siku unaweza kutokea unahitaji kuongeza vifaa vya umeme nyumbani kwako ukatumia hizo spare ulizoziacha hapo kwenye distribution board.

I hope nimeeleweka japo kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemeana na wingi was vyumba na wingi was vifaa vyako mkuu
Muite fundi apaangalie ataelewa afunge ipi

kelphin kepph
 
Main switch ya 4 way au ya 6 way hiyo huwekwa kwenye nyumba ya kimaskini sana ila nyumba za wenye pesa basi utakuta kuanzia njia 8 au 12 au ikiwa mahitaji ni makubwa zaidi basi tunatoka kwenye single phase tunaenda kwenye 3 phase.

Kwenye hiyo main switch ndani yake huwa kuna kitu kinaitwa MCB, hizi MCB hujigawa kulingana na matumizi ya vitu na kila MCB ina ukubwa wake wa kubeba mzigo. Ipo ya:

1) 6 ampere
2)10 ampere
3)15 Ampere
4)20 ampere
5)30 ampere
Na zaidi.

Kwa hiyo kwenye main switch ya njia 4 unaweza ukakuta wamekuwekea MCB ya 10, 15, 20 na 30 Ampere.

Ni maelezo marefu sana ya kiufundi ila kufupisha ni kwamba kiufundi uwa

*Taa inachukua 1 Ampere
*switch socket inachukua 5 Ampere
*cooker uwa tunaweka kwenye MCB ya peke yake yenye ukubwa kuanzia Ampere 20 Ampere
*AC uwa tunaweka kwenye MCB ya peke yake yenye ukubwa wa kuanzia 20Ampere( Na main switch ya single Phase ina uwezo wa kusukuma AC 2, zinapozidi uwa tunamshauri mtega aweke umeme wa 3 phase.

Na pia zipo AC kubwa zinazotumia umeme mkubwa wa 3 phase.inamaana hii ukiweka hata 1 tu kwenye single phase bado haiwezi ikafanya kazi)

* Water heater uwa nayo imawekwa kwenye MCB ye peke yake kuanzia 20 Ampere na kuendelea.

* Water pump nayo uwekwa kwenye MCB ya peke yake yenye kuanzia 20 Ampere.

* Cooker uwa nayo tunaweka kwenye MCB ya kuanzia 25 Ampere na kuendelea.

Kwa hiyo kama kwenye nyuma unaitaji Taa 20 lazima utazigawa kwenye MCB 2,kama utaitaji Switch socket 8 unazigawa kwenye MCB 2, ukiwa na Heater utachukua MCB 1, ukiwa na Cooker utachukua tena MCB 1, mafeni utaweka kwenye MCB 1, Water pump utaweka kwenye MCB 1..kwa hiyo jumla utakuwa umetumia njia 8.

Na huwa sio vizuri utumie MCB zote maana ni vizuri ibaki inapumua kuliko kujaza mzigo wote

Picha ya kwanza ni MCB yenyewe. Na picha ya pili hiyo ni bodi ya Main switch ya njia 8 nikiwa naifitisha ukutani. Mwenye nyumba alinipa mahitaji yake ndo tukanunua ya njia hizo.

Kwa msaada zaidi wa kiufundi nipigie namba 0652868486
images%20(17).jpeg
tapatalk_1576210574335.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana wadau kwa kunielimisha!

Mdau mmoja kasema 4 na 6 ways Main Switch ni kwa ajili ya nyumba za mafukara na masikini! Sijamsoma!

Kwasababu kutokama na maelezo ya wataalamu kama umejenga Apartment au frame za biashara sidhani kama utafunga 12 ways Main Switch.

Nadhani 4 au 6 ways Main switch inafaa!
 
Na kama nataka kufanya biashara ya kuchomelea (Welding). Distribution box (Main Switch) ya aina gani nifunge?
 
Main switch ya 4 way au ya 6 way hiyo huwekwa kwenye nyumba ya kimaskini sana ila nyumba za wenye pesa basi utakuta kuanzia njia 8 au 12 au ikiwa mahitaji ni makubwa zaidi basi tunatoka kwenye single phase tunaenda kwenye 3 phase.

Kwenye hiyo main switch ndani yake huwa kuna kitu kinaitwa MCB, hizi MCB hujigawa kulingana na matumizi ya vitu na kila MCB ina ukubwa wake wa kubeba mzigo. Ipo ya:

1) 6 ampere
2)10 ampere
3)15 Ampere
4)20 ampere
5)30 ampere
Na zaidi.

Kwa hiyo kwenye main switch ya njia 4 unaweza ukakuta wamekuwekea MCB ya 10, 15, 20 na 30 Ampere.

Ni maelezo marefu sana ya kiufundi ila kufupisha ni kwamba kiufundi uwa

*Taa inachukua 1 Ampere
*switch socket inachukua 5 Ampere
*cooker uwa tunaweka kwenye MCB ya peke yake yenye ukubwa kuanzia Ampere 20 Ampere
*AC uwa tunaweka kwenye MCB ya peke yake yenye ukubwa wa kuanzia 20Ampere( Na main switch ya single Phase ina uwezo wa kusukuma AC 2, zinapozidi uwa tunamshauri mtega aweke umeme wa 3 phase.

Na pia zipo AC kubwa zinazotumia umeme mkubwa wa 3 phase.inamaana hii ukiweka hata 1 tu kwenye single phase bado haiwezi ikafanya kazi)

* Water heater uwa nayo imawekwa kwenye MCB ye peke yake kuanzia 20 Ampere na kuendelea.

* Water pump nayo uwekwa kwenye MCB ya peke yake yenye kuanzia 20 Ampere.

* Cooker uwa nayo tunaweka kwenye MCB ya kuanzia 25 Ampere na kuendelea.

Kwa hiyo kama kwenye nyuma unaitaji Taa 20 lazima utazigawa kwenye MCB 2,kama utaitaji Switch socket 8 unazigawa kwenye MCB 2, ukiwa na Heater utachukua MCB 1, ukiwa na Cooker utachukua tena MCB 1, mafeni utaweka kwenye MCB 1, Water pump utaweka kwenye MCB 1..kwa hiyo jumla utakuwa umetumia njia 8.

Na huwa sio vizuri utumie MCB zote maana ni vizuri ibaki inapumua kuliko kujaza mzigo wote

Picha ya kwanza ni MCB yenyewe. Na picha ya pili hiyo ni bodi ya Main switch ya njia 8 nikiwa naifitisha ukutani. Mwenye nyumba alinipa mahitaji yake ndo tukanunua ya njia hizo.

Kwa msaada zaidi wa kiufundi nipigie namba 0652868486 View attachment 1336009View attachment 1336010

Sent using Jamii Forums mobile app
kuna kazi inaandaliwa, ikiwa tayari itakuhusu. umeitendea haki taaluma yako.
 
Kiongozi! Nataka kuweka switch socket moja nje ya ukuta wa nyumba kwa ajili ya kuchomelea (welding). MCB current inatakiwa iwe ya kiasi gani na wire umatakiwa uwe na unene millimeter ngapi?
 
Ama kweli kufa kufaana. Umeamuakujitangaza hapo kwa papo. Ongera sana.

NB:
Mbona hujavaa viatu, kanuni ya ufundi si inashauri uvae viatu? Utaniambia hapo hamna umeme.
 
mkuu mnafanya makosa makubwa sana kufunga DB eneo ambalo si rahisi kufikika mpaka utumie ngazi.......binafsi kakita kazi zote nilizofanya na kusimamia moja kati ya vitu ambavyo nazingatia ni installation ya DB haitakiwi kuwa juu sana kama navoona kwenye picha hapo juu
 
We Install 6 mm² Cable instead of 4mm² cable to avoid large Loss of Powers ( I²R ) japo hata hiyo ya 4 mm² inaweza kutumika endapo huna matumizi makubwa ya Umeme ( Una taa labda na Charging System chache huna Cooker wala heater)

umejibu kitu tofauti na mzungumzaji alichouliza.....halafu cable kubwa ina high current carrying cababilities kwa hiyo I^2R itakuwa ni kubwa tokana na current na resistance ya cable kwaiyo bado umetoa statement ya uongo japo hujajibu kitu ulichoulizwa
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom