Mafundi umeme, nipe faida ya kufunga 6 ways badala ya 4 ways Distribution Board

umejibu kitu tofauti na mzungumzaji alichouliza.....halafu cable kubwa ina high current carrying cababilities kwa hiyo I^2R itakuwa ni kubwa tokana na current na resistance ya cable kwaiyo bado umetoa statement ya uongo japo hujajibu kitu ulichoulizwa

Sentensi ya Mwanzo uko sahihi maana Mada yenyewe ilikuwa haileweki ila huku mwishoni umeharibu hujui unapinga maana kile nilichoeleza ndicho hichohico ulichoeleza. Anyways 4 Ways Main Switches are mostly designed to meet Maximum demand of 63A Power rating while 6 ways Distribution Board meets the Maximum Power rating of 75A to 100A or even more than 100A power rating!
 
Back
Top Bottom