Mafukara milioni 30, Mabilionea 30

zitto hana hizo qualities...ni mtu ambaye yupo tayari kukanyaga juu ya wenzake ayafikie malengo anayohitaji.huu unafiki wake ni mbaya sana.autafika popote ndani ya chadema
 
Kwani wewe itakusaidia nini kumchafua zitto mtandaoni kwa kutumiwa na mbowe? ...waambie kwanza Mbowe na slaa waache kumchafua zitto mtandaoni na kumsingizia mambo asiyoyafanya! ....tena wewe mbowe na Uache kabisa! ....
sijakuchafua mahali popote.
kama ni mbowe mpigie simu huko aliko umwambie
endelezeni hii vita yenu tu itafika mwisho.usaliti wenu kwa chadema ipo siku utawatokea puani
watu wako kazini wanajenga chama ninyi kazi yenu kubomoa tu kwa kushirikiana na ccm.hamieni huko ccm au chaumma mtakua na raha kuliko chadema
 
zitto ni chaguo langu Mimi na masikini wenzangu wote ...nyinyi mabepari tafuteni ubepari mwenzenu na sisi masikini tunamtaka zitto awe raisi wetu.
Ameshasema na tumemuelewa kuwa.
1. Mzalendo
2.mwadilifu
3.mwajibikaji.......anauwezo mkubwa sana! ....zitooooooooooo
 
Kwani lema hajalamba pesa ya M4C ya dsm?nilimuuliza Komu nae akasema jamaa kalamba na kumuuliza ni ngumu maana jamaa ni cousin wa mkurugenzi wa kampuni(chadema)mbowe.

Inakuaje hapa mala nasikia komu,mala lema kwani ina maana mkurugenzi wa fedha chadema naye ni mkaskazini?
Kama ndivyo ndo maana lema kalamba mpunga wa m4c ili akamalizie nyumba yake maana nasikia ilikuwa bado haijaisha.nimejua kwanini zitto hapendwi chadema maana ana uwezo na sio mkaskazini.ni threat kwao.wanasahau mchakato wa katiba mpya huooooo!zitto umma wa watanzania umeshaelewa vile unabaguliwa chadema hivyo unasubiliwa tu uchukue form 2015.
 

CDM hatuwezi kuchaguliwa mgombea na CCM wala usalama wa taifa ni bora tusichukue dora kuliko RAIS awe ZITO kijana mbinafsi na anayedhani yeye kazaliwa kufikiria kwa niaba ya wengine.........ZITO hatokuwa RAIS wa Tanzania KAMWE labda KIGOMA KASKAZINI itangazwe JAMHURI HURU.
 

Vp Lema atarudisha ile pesa au kwa sababu ni wa nyumbani meku?
 
mchange una uhakika na haya unnayosema?

atausikia tu.labda akapeperushe bendera ya chaumma adc au ccm
 

Rais wa tanzania lazima atoke kaskazini slaa au mbowe.msingi wa chadema ni familia lakini slaa katelekeza familia vp nchi ataweza?kama mpaka sasa anafikiri kwa kutumia akili za mchumba yake je akiwa rais itakuwaje?
kuwa na rais wa majungu kama slaa ni sawa na kuuza nchi yako yaani mshauri wa slaa ni josephine,sabula na kagenzi lazymind
 
Ndio uzuri wa Demokrasia Dada.., kila mtu kuchagua anayemtaka.., binafsi mimi sina ninayemtafuta wala wakati haujafika wa kuanza kuwaza ni nani anayefaa sasa..

Nilichofanya ni kukusahihisha kwamba akili nyingi sana its not necessarily a must have in being a leader ndio maana nikakupa qualities of a good leader (ambapo akili nyingi haipo) so kwa hayo mengine kama anayo basi its all well and good
 
simple mind discuss people wacha ushabiki wa kijinga namna hii
 
mchange na mwampamba na kundi lenu mna akili ndogo sana.hivi mnafanya nini chadema kama kazi yenu kukichafua chama na viongozi?kwa kufanya hivyo si heri hao wakaskazini wenye akili waongoze tu kuliko akili ndogo mnazoonyesha hapa?
 
kwani kazi ya zitto ni kutoa kauli kuhusu TZ kuingia gizani! mbona slaa nae hatoitena majina ya mafisadi au nae pesa ya sabodo imemkolea?
you have personal interest with him bisha !!!!!!
 
simple mind discuss people wacha ushabiki wa kijinga namna hii

Nani mjinga anajua ujana uzeeni na uzeeni ujanani.Rais msikiliza majungu na mtumia akila ya demu kufikiri ndo maana mungu aliweka kila kitu na muda wake na mahala pake.
 
zitto hii kazi ya kumchafua mbowe haitakusaidia hapa JF.shirikiana na viongozi wenzako

Nimeamini kweli we kombe,tena kombe la mwanaharamu hasaa,haya funika hilo kombe lako la mwanaharamu rais ajae zzk apite.unaacha kujibu hoja unaanza kutaja taja majina ya watu!funika kombe lako harakaa.
 
Well done mheshimiwa... A very articulated piece of information...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…