Mimi nilishakupotezeaga mda mrefu, hapa kilichonifanya nije ni hii interesting topic full stop
teh teh teh teh..GubuSi kila mara una log in as a member that why nimekukaribisha JF ujue unaweza akuwa member uka-log in kama GUEST, M-follow Twitter. wadada wengine mapepe kweli ulishaolewa?
Jibu maswali...mwambie na huyo tutajadili vitendo vyake na si yeye!
Wengi bado hawana habari kama Jembe lao limefunguwa thread huku JF ngoja watoke huko facebook saa hizi wanakusanyana na wataingia hapa kama vipanga.
kwanza usipomuona Ben Saanane leo kwenye thread hii najipiga ban ya wiki moja ni kitu ambacho hakiwezekani.
Zitto toka aanze siasa ni CHADEMA damu hadi moyoni kuanzia familia yake.
Dr,slaa ndio nawasiwasi naye,AMEKUJA CHADEMA BAADA YA KUJERUHIWA CCM,AMEKUJA KUPOZA MAUMIVU YA CCM NDIO MAANA ANASHUTUMIWA KWA KUMILIKI KADI MBILI YA CCM NA YA CHADEMA.
KUMBUKA ZITTO AMEANZA HARAKATI ZA UKOMBOZI AKIWA NA MIAKA 20,DR.SLAA AMEANZA AKIWA NA MIAKA 6O MIAKA 50 AMEITUMIKIA CCM
Hapa kuna mtu anavinasaba vyote vinavyojieleza kuwa huyu mtu ni TUNTEMEKE....msomeni between the line
wengi wanaakili kama yako,wachache ndio vimeo hawajui kesho kunamaisha piazitto ana kila sababu ya kuwa rais wa nchi hii aisee ....ana akili za kipekee na ajabu sana ....hongera sana! ...
according to you.
wenye akili fupi hujadili watu. watu makini hujadili masuala.
ukikosa hoja usilete vioja. shuka nyanga sio kubwabwaja
Mwampamba,Uchaguzi wa bavicha umeisha kamanda.sijui kwa nini usijenge jimbo lako la mbozi.unachafua viongozi wa chama huku ukijifanya mpambanajiMikono michafu?Nadhani mikono michafu ni ileinayochuruzika damu ya CHACHA MAIGE WANGWE
sawasawaSlaa amechota milion 140 za chama na kujengea nyumba huko tegeta,Lema amekula pesa za m4C mpaka sasa ruzuku ya chama haiendi mikoani ,mbowe amekiuzima chama mafuso mabovu hayo yote hamuoni eti kwa sababu wamefanya wakaskazini.
sawasawa endelea kukichafua chama kaka,endeleza huu uzushi wako humu lakini ipo siku utaonaMIKONO MICHAFU NI ILEINAYONUKA UFISADI WA hela za M4C za watanzania walala hoi,Muda huu zimeelekezwa kumalizia nyumba ya LEMA
Mental case.....!
Don't you guys visit foreign forums and blogs, people there stick to the topic.Please you guys should grow up.
Ni haki yangu kuchangia topic yoyote niitakay😵bsession ni mbaya mkuu,grow up!
vipi tena hasira? hawa vijana wako unaowatuma JF kuja kutukana ili kuwachafua wengine utakiona cha moto siku moja.chadema ni chama ambacho watu wamekifia kaka,watu wamebaki wajane na wengine yatima.watu wamefilisika.huwezi kushiriki mchezo huu mchafu halafu ukaota kuja kuongoza chadema hata siku moja.
Mwampamba,Uchaguzi wa bavicha umeisha kamanda.sijui kwa nini usijenge jimbo lako la mbozi.unachafua viongozi wa chama huku ukijifanya mpambanaji
sawasawa
sawasawa endelea kukichafua chama kaka,endeleza huu uzushi wako humu lakini ipo siku utaona
jaman mimi namwini sana huyu zitto kabwe! ...naamini sasa uwezo wake, natamani awe rais hata leo japo kuna watu hawapendi hasa ndani ya chama chake! ...vipi tena hasira? hawa vijana wako unaowatuma JF kuja kutukana ili kuwachafua wengine utakiona cha moto siku moja.chadema ni chama ambacho watu wamekifia kaka,watu wamebaki wajane na wengine yatima.watu wamefilisika.huwezi kushiriki mchezo huu mchafu halafu ukaota kuja kuongoza chadema hata siku moja.
Mwampamba,Uchaguzi wa bavicha umeisha kamanda.sijui kwa nini usijenge jimbo lako la mbozi.unachafua viongozi wa chama huku ukijifanya mpambanaji
sawasawa
sawasawa endelea kukichafua chama kaka,endeleza huu uzushi wako humu lakini ipo siku utaona
zitto hii kazi ya kumchafua mbowe haitakusaidia hapa JF.shirikiana na viongozi wenzakoNatamani cku moja niione makala iliyoandikwa na Mbowe DJ wangu mzoefu .....sijui atazungumzia bongo flava ama taarabu na maendeleo ya tanzania! ....natamani jamani niione atiko yake! ...
Zitto ndiye rais ajaye wa masikini wanzake! ...wafanyabiashara matajiri wakagimbea urais wa chama cha wafanya biashara wenzao ama chama cha wamiliki wa viwanda na club Zaria usiku! ...Hongera sana mh zitto kwakufanya upembuzi yakinifu ambao umeweza kutoa nguvu tuliyonayo kam taifa,madhaifu yanayofanywa na viongozi wetu legelege,nafasi tuliyonayo kama taifa na nguvu inayohitajika ili kuepukana na hizi changamoto(swot analysis).umeonyesha umakini wako na namna ambavyo umedhamiria kwa dhati kutumboa toka kwenye ukoloni huu mamboleo na ukomboz wa pili wa taifa letu toka kwa watanzania wenzetu wenye uchu wakujilimbikizia mali.
Kwakuwa kiongoz bora ni yule alie na uwezo wakulibaini tatizo,nakutoa njia yakulikabili basi bila shaka unafaa kuliongoza taifa hili.
Tutakuunga mkono katika nafasi yoyote utakayoiomba 2015.ili utimize ndoto zako za ukombozi.
Nadhani kwenye qualities za A Good Leader akili is not one of them.., kwahio tutakapotafuta kiongozi anayetufaa ni bora tuangalie yafuatayo:- (haka kama kiongozi atakuwa average in terms of brains, atapata washauri)Zitto ana kila sababu ya kuwa rais wa nchi hii aisee ....ana akili za kipekee na ajabu sana ....hongera sana! ...
Kama kweli wewe binafsi unakiri tumetoka kwenye UJAMAA na tuko kwenye UBEPARI unashangaa nini kuwa na Mafukara Milioni 30 na Mabilionea 30? Maana moja ya sifa kuu ya mfumo wa UBEPARI (Ambao wewe unadai tumo) ni kuwepo kwa matabaka tena kati ya walionacho na wasio nacho, mashindano bubu ya watu kuchuma fedha nk. nk.
Kitu ambacho kiko wazi ni kuwa, kwa sasa Siasa imewekwa kuwa njia kuu ya watu kuchuma fedha na kuupata utajiri wa haraka. No matter what, Siasa na Wanasiasa wako kwenye fursa kubwa ya kuchuma fedha watakavyo, kujilipa posho nono, kupokea rushwa kubwa kutoka kwa makampuni ya kibepari ili kulinda maslahi yao, kukwepa urasimu katika mahitaji mbalimbali ya kihuduma wanayoyahitaji na kupitisha biashara na maslahi yao binafsi.
Makala yako hii inataja uwepo wa mabilionea 30,hawa ni akina nani? Kuna Bilionea asiye mwanasiasa kwa sasa? Ni wachache. Jiulize kwa nini Ufisadi umekaa meza moja na Siasa yetu? Jibu ni rahisi sana, kuna ndoa ya Ufisadi baina ya Wanasiasa na Wafanyabiashara ambayo msingi wake ni huohuo kutengeneza mabilionea huku wakulima, wavuvi, wafugaji wakipigwa kumbo na kubaki kwenye lindi la ufukara.
Unasema tumeingia kwenye mfumo wa UPEBARI (Sijui ni lini?) hivyo, kubali tu uwepo wa Mabilionea hao 30 kati ya Mafukara Milioni 30, ndiyo sifa kuu ya UBEPARI, haiepukiki.Hata wewe kwa fursa uliyonayo una kila sababu ya kuchagua kundi la Mabilionea as far as UBEPARI unaruhusu Mashindano ya kuvuna utajiri baina ya watu, unaweza maana wenzako wameweza, pengine utakuwa umeanza, sijui.
Waumini wa dhati wa Mfumo wa Ujamaa kama (Karl Marx na Prof. Shivji ambaye unakiri ni mwalimu wako) muda wote wanalia na UBEPARI na sifa yake kuu ya matabaka katika jamii. Wamekuwa wakitoa wito wa kuyamaliza kama si kupunguza gape lililopo sasa.Prof. Shivji kila wakati amekuwa akipigania marejeo ya Sera ya Ujamaa na Kujitegemea.Hata Nyerere (RIP) alikufa akisisitiza kuwa haoni tatizo kwenye sera hii.
Ukweli ni kuwa, hata kama kutakuwa na utetezi wa namna gani dhidi ya Ufukara unaomtesa mwananchi wa kawaida huko kijijini bado Wanasiasa watabaki kuwa wa kwanza kulalamikiwa na Mafukara wanaotoka nchi ya KIJIJINI (Si nchi ya MJINI). Sheria zinapitishwa na wanasiasa, Bajeti za maendeleo zinapitishwa na Wanasiasa lakini Wanasiasa hawahawa (Hasa Wabunge(?)) ndiyo wenye fursa ya kuiwajibisha Serikali pale inaposhindwa kuwajibika ipasavyo.
zitto hii kazi ya kumchafua mbowe haitakusaidia hapa JF.shirikiana na viongozi wenzako