Mafukara milioni 30, Mabilionea 30

Bilioni huanza na milioni. Ukitaka kujua naye yumo kwenye list ya watu wanaomiliki bilioni, ni kuangalia maisha yake. Sijawahi kuliona gari lake analotumia hilo hammer, lakini naambiwa ni kati ya magari wanayotumia wenye nazo. Kama hana angelipata wapi?

ndugu yangu usimezeshwe habari na wewe ukazimeza tu. Sina Hammer. Ninatumia VISTA na FREELANDER.

Turudi kwenye mada. Mada hii ni muhimu zaidi kuliko mtoa mada. Mtoa mada ni binadamu ana mazuri yake na mapungufu yake. Mada inahusu nchi na itadumu milele nchi yetu wakati mtoa mada anapita tu hapa duniani.

Nakukaribisha nyumbani kwangu Tabata tunywe kahawa ya Kalinzi Kigoma na kusoma vitabu maana kama kuna utajiri mkubwa nilionao ni vitabu. Karibu
 
Hahahaha! hujamalizia kamanda na nyumbani Tabata umepanga! walipia pango kama siye!
 
Ni kweli. Lazima tuanzie hapa. Kwamba mtu anayetaka kuwa mtumishi wa umma lakini anafanya
Uwazi ni msingi mkubwa sana wa kupambana na ufisadi. Uwazi utaondoa majungu na kuzushiana. Uwazi utawapa nguvu wananchi juu ya viongozi wao.
ZITTO si ulikimbia JF na kuanzisha vi blog vyako umerudi na vi-thread vyako kila kukicha, ili tusijadili vifo vinavyotokana na POLICCM ambavyo hujapost hata comment vijana wanauwawa... mfano hii thread ni current issue? kama kiongozi wa Chadema vipi ulishawahi kuja na thread? mpinzani gani hutaki kumkosoa JK hadharani? Viongozi CDM wanatishiwa kuuwawa na TISS upo kimia... ama tusadiki ndio walewale na daima ufisadi hatuuwezi kuutoa kwa watu dizani yako wanaturudisha nyuma...
 
Bilioni huanza na milioni. Ukitaka kujua naye yumo kwenye list ya watu wanaomiliki bilioni, ni kuangalia maisha yake. Sijawahi kuliona gari lake analotumia hilo hammer, lakini naambiwa ni kati ya magari wanayotumia wenye nazo. Kama hana angelipata wapi?

Porojo za mwanahalisi likiandikwa na slaa.
 
ZITTO si ulikimbia JF na kuanzisha vi blog vyako umerudi na vi-thread vyako kila kukicha, ili tusijadili vifo vinavyotokana na POLICCM ambavyo hujapost hata comment vijana wanauwawa... mfano hii thread ni current issue? kama kiongozi wa Chadema vipi ulishawahi kuja na thread? mpinzani gani hutaki kumkosoa JK hadharani? Viongozi CDM wanatishiwa kuuwawa na TISS upo kimia... ama tusadiki ndio walewale na daima ufisadi hatuuwezi kuutoa kwa watu dizani yako wanaturudisha nyuma...

Ulitaka tujadili mbowe na billcanas au slaa na mke wa mtu.
 
ndugu yangu usimezeshwe habari na wewe ukazimeza tu. Sina Hammer. Ninatumia VISTA na FREELANDER.

Turudi kwenye mada. Mada hii ni muhimu zaidi kuliko mtoa mada. Mtoa mada ni binadamu ana mazuri yake na mapungufu yake. Mada inahusu nchi na itadumu milele nchi yetu wakati mtoa mada anapita tu hapa duniani.

Nakukaribisha nyumbani kwangu Tabata tunywe kahawa ya Kalinzi Kigoma na kusoma vitabu maana kama kuna utajiri mkubwa nilionao ni vitabu. Karibu

tupia picha yake tuyaone japo kwa mcho, kwani ndo nayasikia haya majina kwako. ni magari ambayo hayajazoeleka.
 
ndugu yangu usimezeshwe habari na wewe ukazimeza tu. Sina Hammer. Ninatumia VISTA na FREELANDER.

Turudi kwenye mada. Mada hii ni muhimu zaidi kuliko mtoa mada. Mtoa mada ni binadamu ana mazuri yake na mapungufu yake. Mada inahusu nchi na itadumu milele nchi yetu wakati mtoa mada anapita tu hapa duniani.

Nakukaribisha nyumbani kwangu Tabata tunywe kahawa ya Kalinzi Kigoma na kusoma vitabu maana kama kuna utajiri mkubwa nilionao ni vitabu. Karibu

Mimi nilishakupotezeaga mda mrefu, hapa kilichonifanya nije ni hii interesting topic full stop
 
ZITTO si ulikimbia JF na kuanzisha vi blog vyako umerudi na vi-thread vyako kila kukicha, ili tusijadili vifo vinavyotokana na POLICCM ambavyo hujapost hata comment vijana wanauwawa... mfano hii thread ni current issue? kama kiongozi wa Chadema vipi ulishawahi kuja na thread? mpinzani gani hutaki kumkosoa JK hadharani? Viongozi CDM wanatishiwa kuuwawa na TISS upo kimia... ama tusadiki ndio walewale na daima ufisadi hatuuwezi kuutoa kwa watu dizani yako wanaturudisha nyuma...
Mimi Mwanahalisi walishanifunguaga kuhusu Zitto.
 
ndugu yangu usimezeshwe habari na wewe ukazimeza tu. Sina Hammer. Ninatumia VISTA na FREELANDER.

Turudi kwenye mada. Mada hii ni muhimu zaidi kuliko mtoa mada. Mtoa mada ni binadamu ana mazuri yake na mapungufu yake. Mada inahusu nchi na itadumu milele nchi yetu wakati mtoa mada anapita tu hapa duniani.

Nakukaribisha nyumbani kwangu Tabata tunywe kahawa ya Kalinzi Kigoma na kusoma vitabu maana kama kuna utajiri mkubwa nilionao ni vitabu. Karibu

ZITTO naomba hujibu hoja yangu usikimbilie kujibu hoja nyepesi au jibu HOJA kaka au umepata kizungumkuti jibu hoja yangu plz.
 
Hapo kwenye rangi ya blue ndio muhimu sana.
Sasa,wewe uko karibu sana na Rais Kikwete, umeshawahi kumuuliza kwa nini mafisadi hawachukuliwi hatua za kisheria wakati ufisadi wao uko wazi kabisa ?
Maana bila kuchukua hatua, watu wengi watatamani kuwa mafisadi, wakijua kuwa hawatachukuliwa hatua.
Hivi karibuni ulisema kuwa unawajua mafisadi walioficha pesa nje ya nchi, sasa, hatua gani umechukua ??
Ni kwa kuchukua hatua ndio tutakuwa tunapambana na ufisadi.

amwulize ili iweje wakati anakula naye?
 
ZITTO si ulikimbia JF na kuanzisha vi blog vyako umerudi na vi-thread vyako kila kukicha, ili tusijadili vifo vinavyotokana na POLICCM ambavyo hujapost hata comment vijana wanauwawa... mfano hii thread ni current issue? kama kiongozi wa Chadema vipi ulishawahi kuja na thread? mpinzani gani hutaki kumkosoa JK hadharani? Viongozi CDM wanatishiwa kuuwawa na TISS upo kimia... ama tusadiki ndio walewale na daima ufisadi hatuuwezi kuutoa kwa watu dizani yako wanaturudisha nyuma...

JK is a past brother. I look future. Will JK contest in 2015? Dont lose focus. Be strategic. JK will not be on ballot and he has passed expiery date.

I am JF and JF is me. I am a founder and i remain so. Transformed it from Jambo to Jamii. Transformed myself from using a hidden identity to my real name. You seem to be a PAST.

Kuwa na blog sio dhambi. Makala zangu nyingi zimeletwa humu kutoka kwenye blog yangu. Lile ni jukwaa langu binafsi na hili ni jukwaa la umma. Kule nashiriki kama mimi na huku nashirikiana na wenzangu kuangalia mustakabali wa Taifa langu. Siku zote mijadala ya JF kwangu ni changamoto na ninaifuatilia.

Tatizo ukikosa hoja unaleta vioja........ rudi kwenye mada, Jadili mada. Achana na mtoa mada au anzisha thread ya kumjadili mtoa mada kama unapenda sana kumjadili mtoa mada.
 
ZITTO si ulikimbia JF na kuanzisha vi blog vyako umerudi na vi-thread vyako kila kukicha, ili tusijadili vifo vinavyotokana na POLICCM ambavyo hujapost hata comment vijana wanauwawa... mfano hii thread ni current issue? kama kiongozi wa Chadema vipi ulishawahi kuja na thread? mpinzani gani hutaki kumkosoa JK hadharani? Viongozi CDM wanatishiwa kuuwawa na TISS upo kimia... ama tusadiki ndio walewale na daima ufisadi hatuuwezi kuutoa kwa watu dizani yako wanaturudisha nyuma...
undhani chadema nimavuvuzela kila mmoja anaropoka kama Tambwe hiza?....Chama kinawasemaji,sekretarieti na kamati kuu wanajadili then wakuesema wanapewa waseme...
 
Zitto,

Hoja ya kumtoa Pinda imeishia wapi??? au lengo lako lilikuwa kumwondoa Waziri wa fedha???

Inaonekana unataka kuanzisha Jeshi la mtu mmoja vp utafanikiwa???

MBONA HULEWEKI?Heading na hiki vinaushirikiano>>>>???au umetumwa
 
undhani chadema nimavuvuzela kila mmoja anaropoka kama Tambwe hiza?....Chama kinawasemaji,sekretarieti na kamati kuu wanajadili then wakuesema wanapewa waseme...
Dah! ndio post yako ya kwanza na umejibu hivyo well done karibu JF

Join Date : 19th August 2012
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received 0
Likes Given 1
 
Zitto, Tatizo kubwa nnaloliona kwa wanasiasa, hata wewe naliona kwako, mnaongelea matatizo hamuongelei solution. Ikiwa mwanasiasa anafanya makosa unasema nimtoe madarakani kwa kuwa kuna tatizo hili na hili na hili. Umeongea matatizo. Hujaongea solution.

Mimi nasema solution ya hayo matatizo yaliopo ni elimu tu.

Jee, wewe baada ya kuelezea matatizo, solution ni nini? tafadhali usiniambie ni mtu.
 
Last edited by a moderator:
ndugu yangu usimezeshwe habari na wewe ukazimeza tu. Sina Hammer. Ninatumia VISTA na FREELANDER.

Turudi kwenye mada. Mada hii ni muhimu zaidi kuliko mtoa mada. Mtoa mada ni binadamu ana mazuri yake na mapungufu yake. Mada inahusu nchi na itadumu milele nchi yetu wakati mtoa mada anapita tu hapa duniani.

Nakukaribisha nyumbani kwangu Tabata tunywe kahawa ya Kalinzi Kigoma na kusoma vitabu maana kama kuna utajiri mkubwa nilionao ni vitabu. Karibu

zitto-akiwasili-bungeni-kwaajili-yakwenda-kuwasilisha-bajeti-ya-upinzani.jpg

zitto2.jpg
 
Nasikia kumiliki vitu hivi si jambo dogo, ni mwendo mrefu. Atupe mchanganua wake ili pia tujue thamani yake halisi tulinganishe na kipato chake kwa miaka hiyo 7 ya utumishi wake kama mbunge.
Hivi hiyo gari imenunuliwa ya mapambo?Mbona hatuioni akiiendesha?Mbona pale Tabata anapoishi haipo....Umelishwa unga wa ndele umepoteza mwelekeo wa kufikiri,Pole sana Labda umekosea hii post ni Ridhiwani
 
Back
Top Bottom