Mafukara milioni 30, Mabilionea 30


Kamanda mijadala kama hii inakosa muelekeo kwasababu kama hizi,hapa utakuwa ubishi wa Zitto,Slaa na Mbowe! tunapaswa kuwa mfano kwa hawa vijana wengi wanaokimbilia huku kutoka facebook ili wajue wakati wa kudiscuss issues na si watu!

Kamanda Matola vipi tena?
 

Hhahahah Umelishwa unga wa ndele,huyo unayemtaja hata sehemu aliyopatia mafunzo tunapajua.Sema ameshatumika hana jipya,Dj kamchoka
 
CCM imechokwa na wananchi kupita maelezo....mtu yeyote aliyechagua kuwa upande wa CCM lazima atashindwa tu.

Usipokubali mdomoni, utakubali moyoni.
 
hivi unamjua mwandishi wa Mwanahalisi ww?Au unadhani KUBENEA(TIGER PICTURE)
Yaani DR.SLAA ajiandike kuwa anadaiwa na chadema?Yaani Dr.salaa ajiandike kuwa anatumia ruzuku za chama.
NAMKUBALI MBOWE ANAYEMTUMIA DR.SLAA,LAKINI MWAKA 2015 UTASIKIA PAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA..atabaKi Josephine na Slaa wamejishika vichwa
 

Mbona slaa tokea ale ile pesa ya visima vya sabodo nae haonikani humu JF.slaa anaandika vimessage kama vile anamtumia mchumba wake kumbe anamtumia IGP hayohamuoni ila zitto tu ndo mnaona.
 
Gongo2, wewe ndio mkwe wa Mwigulu Nchimbi(msukuma) ama tungoje mwingine? tulidokezwa ataanza ku-post kwa kasi leo JF? ok are you!?
 
ccm imechokwa na wananchi kupita maelezo....mtu yeyote aliyechagua kuwa upande wa ccm lazima atashindwa tu.

Usipokubali mdomoni, utakubali moyoni.
sentesi yako imekamilika...wote tumeichoka ccm, kwa hiyo hatutaki kabisa kutaja ccm
 

Yaani slaa ajiandike kwamba amekura pesa ya visima vya sabodo au slaa ajiandike pesa anazochukua kwa mengi huku akisingizia anataka kukomboa nchi.
 
Mbona slaa tokea ale ile pesa ya visima vya sabodo nae haonikani humu JF.slaa anaandika vimessage kama vile anamtumia mchumba wake kumbe anamtumia IGP hayohamuoni ila zitto tu ndo mnaona.

Join Date : 16th August 2012
Posts : 91
Rep Power : 324
Likes Received 7
Likes Given
karibu JF dadaa
 
Gongo2, wewe ndio mkwe wa Mwigulu Nchimbi(msukuma) ama tungoje mwingine? tulidokezwa ataanza ku-post kwa kasi leo JF? ok are you!?
baada ya kuishiwa sasa unakuja na virojovirojo,Jikite kwenye hoja..acha kukurupuka.
 
Join Date : 16th August 2012
Posts : 91
Rep Power : 324
Likes Received 7
Likes Given
karibu JF dadaa

hivi kunauhusiano wowote kati ya swali na jibu lako???Joining date hainauhusiano na ukweli unaoelezwa hapa,Dr.slaa mbona kakimbia jukwaa?????
 

Kamundu,

Excellent !

Kwa Bahati mbaya tumezoea kujadili matukio bila kufikiri matukio hayo chanzo chake ni mfumo.Mfumo unakuwa based on national values kitu ambacho Taifa letu sasa hivi halina

Mfumo nao hutoa dira.Itikadi zote za vyama vya siasa huzaa sera ambayo itakuwa juu ya mfumo ambao ni tunda la national values zilizopo

Kwa bahati mbaya tumejenga taifa ambalo hata vijana wasomi ambao taifa linazalisha wanakuwa ni watu wa kujadili matukio na mambo madogo madogo tu.Hatufiki popote kwa staili hii

China,Rwanda na hata Russia ilipojijenga kwa muda wa mika 70 tu kuwa superpower ilipitia huko.Hakuna shortcut ingawa tunaweza kutumia fursa tulizo nazo za ziada (added Advantage) kufikia huko

Ukiangalia ilani za vyama vya siasa tulivyo navyo katika general Election iliyopita unaweza ukaona ni jinsi gani hatujaweza kuwa taayari katika hili kama Taifa.Nitarudi tujadili mada hii kwa mapana

wealthy Creation inawezekana kupitia marekebisho ya mfumo.Vicious circle of poverty inaweza kuwa historia kama tutadhamiria Radical Reforms !
 
Join Date : 16th August 2012
Posts : 91
Rep Power : 324
Likes Received 7
Likes Given
karibu JF dadaa

Niko siku nyingi na hata kuchangia M4C nilichangia bila kujua kwamba nachangia ujenzi wa nyumba ya Lema pale mbagala.
 
Eee Mungu! endelea kuibaliki Chadema na viongozi wake! Hata kama kutakuwa na mapungufu ya hapa na pele basi ni wewe ndiye utajua ni jinsi gani ya kusolve hayo mambo. All in all wengi wetu tumeichoka ccm na tunataka iondoke
kabisa madarakani.
 
hivi kunauhusiano wowote kati ya swali na jibu lako???Joining date hainauhusiano na ukweli unaoelezwa hapa,Dr.slaa mbona kakimbia jukwaa?????
Si kila mara una log in as a member that why nimekukaribisha JF ujue unaweza akuwa member uka-log in kama GUEST, M-follow Twitter. wadada wengine mapepe kweli ulishaolewa?
 
Si kila mara una log in as a member that why nimekukaribisha JF ujue unaweza akuwa member uka-log in kama GUEST, M-follow Twitter. wadada wengine mapepe kweli ulishaolewa?

Mbona hata Lema ni mgeni ndani ya chadema lakini binamu yake mbowe kamuweka awe mjumbe wa kamati kuu wakati jamaa bado anaissue za ki TLP au hujui.
 
Tuambie, mbona tangu Mhando kupumzishwa hujaja na kauli, Tanzania kuingia gizani? na kumbuka mvua hazinyasha kwa muda sasa lakini megawati zipo za kutosha.

kwani kazi ya zitto ni kutoa kauli kuhusu TZ kuingia gizani! mbona slaa nae hatoitena majina ya mafisadi au nae pesa ya sabodo imemkolea?
 
Usipoikubali Chadema mdomoni utaikubali moyoni.

Usipokubali mdomoni kuwa CCM imechokwa basi utakubali moyoni.

Poleni vibaraka wa CCM....mmechagua upande m-baya sana wa historia! lazima mshindwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…