Decree Holder
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 2,559
- 3,747
What??????
Lowassa atakuwa mgombea wa Urais kupitia CHADEMA 2015.
wewe uliyeanzisha hii mada inaonekana jinsi gani hauna umakini,fanya utafiti kabla ya kuongea au uvccm?
sijui kitawaleta nn ?watakuja na dhamira gan ?nadhani ni fikra fupi zisizonamashiko hasa ukiangalia ktk uhalisia wake,
Umeshajua Kilichowaleta
Mkuu huyu Lole Gwakisa namvulia kofia, ametabiri tunayo yaona leo miaka minne iliyopita!!!Jamaa Alikuwa Makini Sana Kuliko Wewe
Lowassa atakuwa mgombea wa Urais kupitia CHADEMA 2015.
No wonder , you are no longer in circulation!Wishful Thinking
Hivi upo mkuu?CHADEMA hawezi kwenda fisadi bana.
Fisadi akitoka CCM anahamia CUF NCCR, TLP au UDP bana kwani umeambiwa CHADEMA ni chama cha mikataba feki.
(CCM) wacha hizo bana fikiri hata kidogo ukipata information bana au unasemaje mkuu.
Hivi upo mkuu?
Nipo tele , na kikatio changu mzee!Mkuu upo?
Nipo tele , na kikatio changu mzee!
Nipo tele , na kikatio changu mzee!
Ouch!! What a grammer