Floribert. N.N.
Member
- Nov 5, 2007
- 14
- 0
Aaahh..ule si wa majungu ya ngono tu. Mi nataka ushahidi wa ufisadi wa kufuja mali za umma.
haya sio madai yangu, bali ni kitu ambacho kipo, ulikuwa wapi wakati tunadiscuss hayo mambo hapa JF ?
tena na sio hao tu, (slaa, mbowe) wapo wengine wengine kibaooo (wanafahamiana) ! stay tuned !
Tatizo lenu nyie majungu na porojo mmeweka mbele. How do you explain these allegations? Unasema tumeisha jadili, umejadili wewe na nani? oh! this is fact...well, how do you establish fact?
first red words- umesema "lenu" mie na nani ?
second red words- it might answers your generalization to your previous statement (first red words) !!
Tatizo lenu nyie majungu na porojo mmeweka mbele. How do you explain these allegations? Unasema tumeisha jadili, umejadili wewe na nani? oh! this is fact...well, how do you establish fact?
shetani !
ipo siku utasema makada wote nao mafisadi !
Mhh... hivi vidagaa vitawabana kinywani maanake sidhani kama watataka kuzama peke yao! eagerly awaiting!!ni kweli kabisa...vitakamatwa vidagaa tu...hatutawaona JK eleven hata mmoja...Mzee wa porojo, anaendeleza porojo zake..
no doubt shetani !
lakini sidhani kama itakuwa "wote",!! ukisubiri "wote" wafikie definition ya mafisadi, i guess you will wait for ever ! maana sio "wote mafisadi" !
Tunapowaita watu mafisadi unadahni huwa tunaamanisha nini? Umeingiza neno "wote" nimekwambia waki fit definition ya ufisadi nitawaita mafisadi, unaanza kujikanyaga kanyaga. You even get scared like a baby who shit on his pants.
Huyu Rais ameshaweka MAZINGIRA YA SIASA kwenye hizo kesi zitakazikuja (kama kweli zitakuja)...kwa maana nyingine HAKI YA WATUHUMIWA ameshaitia kapuni kwake...hao watashtakiwa kwa sababu Rais kasema...
List za mafisadi za kivikundi ziko nyingi na zina maana tofauti na ile ya kitaifa.
Hata sisi hapa JF tunayo,Nafasi Namba 1 ya ufisadi ilichukuliwa na Mwanakijiji.
List ya Mafisadi ya Kitaifa ni moja tu na wote tunaijua.
Kada
Naweza kukuita kuwa ni most interesting member wa JF, kutokana na your side of story. Naona mpaka sasa nyie mnazidi kukanusha shutuma za ufisadi kwenye chama chenu. Huenda wewe una jua kidogo ni kina nani watatangazwa siku za karibuni kujihusisha na vitendo hivyo, wewe ni insider tudokeza kidogo. Anyone in list of shame??